Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Muacheni Mungu aitwe Mungu......hakika na hatimaye anatenganisha upande wa haki na dhulumati wanaenda kuungana na ule upande ambao Allah anazidi kuwaadhibu polepole kwa kuwanyima akili na maarifa.
Malipo ni hapahapa na muda utasema soonest.
 
Woote hao wana price tag.....mapandikizi hayo
 
Prof Lipumba mswahili sana atabakia kuwa mwanachama wa kawaida tu huku CCM, Dr Slaa ndio kichwa anafaa hata kuvaa viatu vya Kinana!
 
Mwaka huu wenu, mtabashiri sana. Lakini ukweli upinzani huu wa kuzika mbwa live hamna Sera tena.
 
Kwamba mahakama sasa hivi si za ccm tena?
 
Chadema aliondoka zitto slaa arfi na naibu katibu mkuu zenji chama hakikufa sembuse hawa sisimizi???

Wacha waende btw tupo mamilioni tutajichaguwa wengine kuwa viongozi ila chadema haifi leo wala kesho maana mlishajaribu sana kuanzia udini mkaja ugaidi mkaja ukanda mkaja ukabila ila mmefeli mtaweza kwa cuf na nccr ila chadema hamtokaa muweze
Mku kweli kabisa watu wanashindwa kuelewa Itikadi zipo rohoni mwa wananchi
 
Back
Top Bottom