Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Kwa hiyo Lipumba akihamia CCM ndio ataenda kukifuta chama au?!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mku ndo mrengo wake unajulikana kwani wanachama watabaki na Itikadi waliyoaminishwa kwa hiyo watabaki na Itikadi yao mioyoni mwao
 
Hakuna ukweli wowote katika hili.lipumba atabaki cuf hadi 2021...kazi anayoifanya sasa kui de stabilize cuf imetukuka
 
Erythrocyte,
Na wewe mkuu unahamia lini CCM nimesikia tetezi na wewe umewachoka wapinzani hawana sera za maana!! Ya kweli hayo mkuu??
 
Hizo mahakama mkishindwa kesi si mnasema ni za CCM?

Hakuna watu wapuuzi duniani kama chadema
 
Ccm mnafanya siasa za kipumbavu sana awamu hii
Taarifa zinaonyesha kwamba kabla ya kufa na kuoza Chama cha KANU cha Kenya kilitumia kila hela ya Kenya kununua wapinzani .
 
Kuna nyepesi zinazunguka kumhusu Magdalena Sakaya, kwamba anaitosa CUF na kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Mwaka huu tutasikia na kuona mengi.
 
Huyo mbona muda mrefu anafahamika sama sasa ndio kaamua kuvaa jezi rasmi. Tunamngojea na huyo baba yao le profeseri.
 
Back
Top Bottom