Tetesi: Baada ya upepo wa Mahakama kuwakalia vibaya: Lipumba, Sakaya na Kambaya kuhamia CCM muda wowote

Muacheni Mungu aitwe Mungu......hakika na hatimaye anatenganisha upande wa haki na dhulumati wanaenda kuungana na ule upande ambao Allah anazidi kuwaadhibu polepole kwa kuwanyima akili na maarifa.
Malipo ni hapahapa na muda utasema soonest.
 
Woote hao wana price tag.....mapandikizi hayo
 
Prof Lipumba mswahili sana atabakia kuwa mwanachama wa kawaida tu huku CCM, Dr Slaa ndio kichwa anafaa hata kuvaa viatu vya Kinana!
 
Mwaka huu wenu, mtabashiri sana. Lakini ukweli upinzani huu wa kuzika mbwa live hamna Sera tena.
 
Kwamba mahakama sasa hivi si za ccm tena?
 
Mku kweli kabisa watu wanashindwa kuelewa Itikadi zipo rohoni mwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…