Kumbe mtulia alikuwa kambi lipumba!!!!!Hii ni taarifa niliyodokezwa na mdau mmoja ambaye ni mhusika kwenye 'kitengo cha manunuzi' CCM.
Lipumba na timu yake wamelazimishwa kuhakikisha wanahamia rasmi CCM kabla ya January.
Maulid Mtulia ametangulizwa makusudi ili kupima upepo, hasa baada ya ushahidi kuonyesha wazi kwamba wataangukia pua mahakamani, wameona ni heri lawama kuliko fedheha.
Tuendelee kusubiri, kila msaliti atajianika mwenyewe
Mungu hajawahi kumficha mnafiki .
Ulichelewa sana kujua , pole .Kumbe mtulia alikuwa kambi lipumba!!!!!
siasa za kitoto
Sisi wapuuzi sana, kama ni kweli yanayosemwa humu ndani Kuwa wanasiasa wananunuliwa basi tusilaumu yanayoendelea huko Libya.
Tuende Kilwa, Bagamoyo, Tanga tukafungue upya Masoko yetu na sisi tuanze kufanya.
Magdalena Sakaya tulishamwambia Machoni ni cuf ila Rohoni ni chama changu kilichoondoka na lile zao la kahawa lililomsomesha pale Kombo mpaka Kibosho Girls.Kuna nyepesi zinazunguka kumhusu Magdalena Sakaya, kwamba anaitosa CUF na kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Mwaka huu tutasikia na kuona mengi.
Kweli kabisa wengine wanakuja kutafuna mafaili yetu
Hakuna tofauti yoyote kati ya yanayotendwa na ccm na biashara ya utumwa , hiyo yote ni biashara ya binadamuSisi wapuuzi sana, kama ni kweli yanayosemwa humu ndani Kuwa wanasiasa wananunuliwa basi tusianzidhe wala kulaumu yanayoendelea huko Libya.
Tuende Kilwa, Bagamoyo, Tanga tukafungue upya Masoko yetu na sisi tuanze kufanya.
Hivi biashara hii si imelaaniwa alafu watu wanaifanya. Basi huku yao inakuja kutoka kwa Wananchi walioipata Elimu ya UraiaHakuna tofauti yoyote kati ya yanayotendwa na ccm na biashara ya utumwa , hiyo yote ni biashara ya binadamu
Hakuna mwanaccm mcha Mungu .Hivi biashara hii si imelaaniwa alafu watu wanaifanya. Basi huku yao inakuja kutoka kwa Wananchi walioipata Elimu ya Uraia
Maalim seif atapumuaHii ni taarifa niliyodokezwa na mdau mmoja ambaye ni mhusika kwenye 'kitengo cha manunuzi' CCM.
Lipumba na timu yake wamelazimishwa kuhakikisha wanahamia rasmi CCM kabla ya January.
Maulid Mtulia ametangulizwa makusudi ili kupima upepo, hasa baada ya ushahidi kuonyesha wazi kwamba wataangukia pua mahakamani, wameona ni heri lawama kuliko fedheha.
Tuendelee kusubiri, kila msaliti atajianika mwenyewe
Mungu hajawahi kumficha mnafiki .
Mbona mm nina hofu ya Mungu tena kubwa tuu ndo maana sipepesi macho ktk kusimamia kweli ili kweli iniweke huru. Bila kuwa huru huwezi kuja na hoja ikawa na mashiko ndo maana watu hukimbia hoja zaoHakuna mwanaccm mcha Mungu .
Labda si mwanaccm .Mbona mm nina hofu ya Mungu tena kubwa tuu ndo maana sipepesi macho ktk kusimamia kweli ili kweli iniweke huru. Bila kuwa huru huwezi kuja na hoja ikawa na mashiko ndo maana watu hukimbia hoja zao