Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Euros or rubble. Yes or no? ...... what ???Is the EU according to the article and even the topic paying in Euros or Rubble. Yes or No?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Euros or rubble. Yes or no? ...... what ???Is the EU according to the article and even the topic paying in Euros or Rubble. Yes or No?
EU, US waharibifu sana kwenye hii duniakabisa wali pandikiza chuki mbaya sana kwa watu wa Ukraine dhidi ya Warusi! kwa muda wa zaidi ya miaka8
Hata wale wanajeshi waliojifungia kwenye kile kiwanda ....yule generali wa urusi alitaka awafumue tu na kombora wafie huko kazi iishe,,,,Putin ndo akawaambia awaache tu kama kufa watajifia tu wenyewe huko ndani kwa kukosa huduma au wakichoka watajisalimisha wenyewe, angekua jenerali ndo anamaamuzi ya mwisho kile kiwanda kwa sasa kingekua ni vifusi tu😄😄 Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
mwenzio anawazia ukraine mashariki mji mkuu kaushindwa
You might be the one who is Dumb!Oil Prices are quoted in Rubles but neither in dollars nor Euros.Hence,Those who purchase Russian Oil or gas in foreign currencies(Either in Dollars or Euros) are subjected to Forex risks.Currently the Ruble is strenthening against Foreign currencies which makes the west loosers in this regard.Jf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
Inasikitisha na kuhuzunisha sanaaa!😂😂😂😂😂😂😂 sisi hatujitambui kah
Uelewi na ili nalo!! Nauliza habari inasema Ulaya wa nakwenda kununua Gasi kwa Rubo ama pesa yao?.Euros or rubble. Yes or no? ...... what ???
Msije kudhubutu kumuiga putin huyo ana manguvu ss tukijaribu hayachelewi kutuvamia na kutuharibia nchi yetu.Raha sana yani na hao wajinga wakija huku kwetu kununua madini wanunue kwa Tsh.
we jamaa mtu wa pwani nini!?hilo shombo unalowapaka nilauswazi hasa, waache "Wakiwa" wapate utulivu!!😱😱Eeh hawa waimba tarabu wa Zelensky modern taarab walisumbua sana na photoshop zao za javelin😅!
Sahizi ni mkong’oto jazz band tu mpaka wanakimbia malindo.
If so, Then there are no wises men in the world😂😂.You must be a big fool! and a looser as well
Mafuta ya Russia kwa sasa yanauzwa kwenye Ruble kwa mataifa ambayo si rafiki kwa Rusia.Mataifa ya Ulaya yatatumia sarafu zao kununua mafuta au gesi .Sarafu hizo baadaye lazima zitabadilishwa kwenda kwenye Ruble.Uelewi na ili nalo!! Nauliza habari inasema Ulaya wa nakwenda kununua Gasi kwa Rubo ama pesa yao?.
Jibu ikiwa ni NDIYO ama HAPANA icho ndicho ninachokihataji toka kwako.
You might be the one who is Dumb!Oil Prices are quoted in Rubles but neither in dollars nor Euros.Hence,Those who purchase Russian Oil or gas in foreign currencies(Either in Dollars or Euros) are subjected to Forex risks.Currently the Ruble is strenthening against Foreign currencies which makes the west loosers in this regard.
Article.
Kumbe mwanzoni shida ilikuwa ni lugha sasa umenielewa na umefafanua vyema.Mafuta ya Russia kwa sasa yanauzwa kwenye Ruble kwa mataifa ambayo si rafiki kwa Rusia.Mataifa ya Ulaya yatatumia sarafu zao kununua mafuta au gesi .Sarafu hizo baadaye lazima zitabadilishwa kwenda kwenye Ruble.
Thamani ya mafuta wanayonunua lazima iwe sawa na thamani ya mafuta hayo kwenye Ruble kwa wakati husika.Ulaya watapata hasara kutokana na ulazima huu kwa kuwa thamani ya Ruble inaimarika kwa kasi dhidi ya sarafu nyingine ulimwenguni
(Ikiwemo Euro na Dollar) licha ya vikwazo ambavyo urusi imewekewa.Hivyo watalazimika kutumia fedha nyingi ukilinganisha na hapo awali ambapo mafuta yalikuwa yakiuzwa na urusi kwenye Dola.
Naamini utakuwa umeelewa sasa kwa haka kaelimu kadogo ka sarafu.
Article.
Imekuwa future years tena? Sio mwaka huu mkuu[emoji23][emoji23].wazungu huwa wanajipa muda sana ktk kila kitu , Osama alichukua zaid ya miaka 20 , so jipe muda tu , Putin kawaponza warusi kwa future years
[emoji1787][emoji1787] kumbe kiswahili unajua, nikajua kiswahili hujui kabisaaNIMEKUPUUZA.
Russia haijabadilisha msimamo wake ,bado inapokea fedha za malipo ya manunuzi ya mafuta au gesi kwenye Ruble tu kutoka kwa inchi zisizo rafiki.Ndio maana malipo yote yanayofanywa kwenye sarafu ya nchi nyingine lazima yawe converted kwenye Ruble ili kukamilisha manunuzi.Kumbuka kulipa na kununua ni vitu viwili tofauti.Kumbe mwanzoni shida ilikuwa ni lugha sasa umenielewa na umefafanua vyema.
Russia mwanzon alisema anapokea Rubo tu.. Then kakubali kupokea Pesa ya ulaya na yeye mwenyewe ndiyo ataikonvet kwenda kwenye pesa yake.
Iki ndicho inabidi kielezwe na mleta mada na si alichokiandika hapo juu.
Hayo ya kupoteza/kupata mimi siyajadili, ninajadili kile kinachoendelea katka uhalisia wake.
No body pays us bwasheeeee.. Habari ielezwe kama ilivyona si kinyume chake.
Wengine nafsi zetu mtu anapopotosha ukweli hata kidogo tunajihisi offended that's why unaweza hisi ninmhatak mtu kumbe ni ile hali tu ya kupenda kusikia ukweli ukisemwa kama ulivyo[emoji16].
Mkuu Samahani sijaelewa vitu viwili hapa vinanitatiza unaweza niweka sawa nikaelewa zaidiKumbe mwanzoni shida ilikuwa ni lugha sasa umenielewa na umefafanua vyema.
Russia mwanzon alisema anapokea Rubo tu.. Then kakubali kupokea Pesa ya ulaya na yeye mwenyewe ndiyo ataikonvet kwenda kwenye pesa yake.
Iki ndicho inabidi kielezwe na mleta mada na si alichokiandika hapo juu.
Hayo ya kupoteza/kupata mimi siyajadili, ninajadili kile kinachoendelea katka uhalisia wake.
No body pays us bwasheeeee.. Habari ielezwe kama ilivyona si kinyume chake.
Wengine nafsi zetu mtu anapopotosha ukweli hata kidogo tunajihisi offended that's why unaweza hisi ninmhatak mtu kumbe ni ile hali tu ya kupenda kusikia ukweli ukisemwa kama ulivyo😁.
This is merely a stop gap measure.EU is phasing out Russian gas in period not exceeding 6 month. The world is awash with natural gas.Mozambique,QAtar,Nigeria combined have more than enough gas to satisfy EU demand twice over .Russia is not a natural gas monopoly. Further EU is developing nuclear power plants to diversify its energy portfolio. Use of heat pumps as opposed to conventional heaters for winter heating, will further lower enegy demand. The free world will not bow down to the demands of a mad despot.The mode of payment is very clear! It requires the buyer to open two account at the specified bank which has not been sanctioned due to its role in gas business. One account should be in Euro or dollar, the other one in rubles. If you decide to buy in dollars or euros it is ok. But the bank will convert them into rubles and credited to your ruble account. Then the money in ruble form will be used to purchase the gas. Only after this process is complete, then the gas will be released to the buyer!!
The article quoted belongs to CNN mind you!! You can go to their website in case you are in doubt!!
Confirmed. Umezaliwa na kulelewa uwanja wa fisi Dar. Ndio maana umejaa maneno machafu. Sishangai.Sisi tulio zaliwa hatuitaji malezi bora ...mnaoitaji malezi bora ni kama wewe ambaye ulialishwa kama Sa100