Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

😄😄 Warussi wenyewe wanakwambia kwny Ile kamati ya kudumu ya usalama ya kitaifa angalau Putin ndio mwenye roho nzuri/sio radical.Siku wakikutana na kina Dmitry Medvedev akiwa Ni mwenye full power bila uwepo kabisa wa Putin ndipo watamkumbuka Putin kiroho Safi.
Hata wale wanajeshi waliojifungia kwenye kile kiwanda ....yule generali wa urusi alitaka awafumue tu na kombora wafie huko kazi iishe,,,,Putin ndo akawaambia awaache tu kama kufa watajifia tu wenyewe huko ndani kwa kukosa huduma au wakichoka watajisalimisha wenyewe, angekua jenerali ndo anamaamuzi ya mwisho kile kiwanda kwa sasa kingekua ni vifusi tu
 
Sikuhizi marekani hasikilizwi tena anapuuzwa, katika kipindi hiki tumeona

India kununua mfumo wa ulinzi wa anga S-400 kutoka kwa Urusi kwa Rubbles

Saudia kuiacha dollar kufanya biashara na China kwa kutumia Yuan

Urusi na China kuzidi kuimarisha biashara zao kwa kutumia Yuan na Rubles

Ulaya kununua Gas ya Mrusi kwa kutumia Rubles

Hungary aliwaonya ulaya wenzake kuwa yeye hatomuwekea vikwazo Urusi na anajitoa na hazitopitishwa silaha kupitia mipaka yake kwenda Ukraine

Inavyoonyesha wakati vita inaendelea Marekani alitafuta mbadala wa kuireplace Gas ya mrusi Ulaya akashindwa akatafuta mashariki ya kati akaona Saudia pengine huenda akafanya hivyo, wakati anafikiria hayo kuna madege yalikua yanaonekana yanatoka Urusi kuelekea Iran na hivyohivyo Iran kuelekea Urusi but haikujulikana walikua wanafanya nn, huku vita ikiendelea Yemen alifanya mashambulio makali sana ktk visima vya mafuta na Gas vya Saudia, Saudia ikamlaumu sana Iran kwa shambulio hilo kuwa Iran inaipa silaha za Yemen ( hapa inaonyesha Putin alicheza huu mchezo na kafanikiwa 100%) hapohapo Saudi ikatangaza dunia kuwa haitosaidia kusambaza energy ulaya

Qatar ikatazamwa kama mbadala wa kusambaza Gas lakini uhusiano kati ya Qatar na Urusi ni mkubwa, Putin akamuambia mfalme wa Qatar asicheze ngoma isiomuhusu, Qatar akatangaza waziwazi kuwa hana uwezo wa kusambaza Gas ulaya kwahio pia ngoma ikagoma

Ndio now Ulaya wakakubali kulipa kwa Rubles kwa sababu akiba ya ya Gas inakaribia kuisha kwa hio hawana budi kununua wese
 
Jf is full of dump people who can't read, including who brought this article.
EU WILL PAY IN DOLLARS AND EUROS not rubles.
You might be the one who is Dumb!Oil Prices are quoted in Rubles but neither in dollars nor Euros.Hence,Those who purchase Russian Oil or gas in foreign currencies(Either in Dollars or Euros) are subjected to Forex risks.Currently the Ruble is strenthening against Foreign currencies which makes the west loosers in this regard.

Article.
 
Uelewi na ili nalo!! Nauliza habari inasema Ulaya wa nakwenda kununua Gasi kwa Rubo ama pesa yao?.
Jibu ikiwa ni NDIYO ama HAPANA icho ndicho ninachokihataji toka kwako.
Mafuta ya Russia kwa sasa yanauzwa kwenye Ruble kwa mataifa ambayo si rafiki kwa Rusia.Mataifa ya Ulaya yatatumia sarafu zao kununua mafuta au gesi .Sarafu hizo baadaye lazima zitabadilishwa kwenda kwenye Ruble.
Thamani ya mafuta wanayonunua lazima iwe sawa na thamani ya mafuta hayo kwenye Ruble kwa wakati husika.Ulaya watapata hasara kutokana na ulazima huu kwa kuwa thamani ya Ruble inaimarika kwa kasi dhidi ya sarafu nyingine ulimwenguni
(Ikiwemo Euro na Dollar) licha ya vikwazo ambavyo urusi imewekewa.Hivyo watalazimika kutumia fedha nyingi ukilinganisha na hapo awali ambapo mafuta yalikuwa yakiuzwa na urusi kwenye Dola.

Naamini utakuwa umeelewa sasa kwa haka kaelimu kadogo ka sarafu.

Article.
 
You might be the one who is Dumb!Oil Prices are quoted in Rubles but neither in dollars nor Euros.Hence,Those who purchase Russian Oil or gas in foreign currencies(Either in Dollars or Euros) are subjected to Forex risks.Currently the Ruble is strenthening against Foreign currencies which makes the west loosers in this regard.

Article.

You guys make me tire, go through the whole comments you would understand what I'm trying to explain.
 
Mafuta ya Russia kwa sasa yanauzwa kwenye Ruble kwa mataifa ambayo si rafiki kwa Rusia.Mataifa ya Ulaya yatatumia sarafu zao kununua mafuta au gesi .Sarafu hizo baadaye lazima zitabadilishwa kwenda kwenye Ruble.
Thamani ya mafuta wanayonunua lazima iwe sawa na thamani ya mafuta hayo kwenye Ruble kwa wakati husika.Ulaya watapata hasara kutokana na ulazima huu kwa kuwa thamani ya Ruble inaimarika kwa kasi dhidi ya sarafu nyingine ulimwenguni
(Ikiwemo Euro na Dollar) licha ya vikwazo ambavyo urusi imewekewa.Hivyo watalazimika kutumia fedha nyingi ukilinganisha na hapo awali ambapo mafuta yalikuwa yakiuzwa na urusi kwenye Dola.

Naamini utakuwa umeelewa sasa kwa haka kaelimu kadogo ka sarafu.

Article.
Kumbe mwanzoni shida ilikuwa ni lugha sasa umenielewa na umefafanua vyema.

Russia mwanzon alisema anapokea Rubo tu.. Then kakubali kupokea Pesa ya ulaya na yeye mwenyewe ndiyo ataikonvet kwenda kwenye pesa yake.
Iki ndicho inabidi kielezwe na mleta mada na si alichokiandika hapo juu.

Hayo ya kupoteza/kupata mimi siyajadili, ninajadili kile kinachoendelea katka uhalisia wake.
No body pays us bwasheeeee.. Habari ielezwe kama ilivyona si kinyume chake.
Wengine nafsi zetu mtu anapopotosha ukweli hata kidogo tunajihisi offended that's why unaweza hisi ninmhatak mtu kumbe ni ile hali tu ya kupenda kusikia ukweli ukisemwa kama ulivyo😁.
 
Wengine nafsi zetu mtu anapopotosha ukweli hata kidogo tunajihisi offended that's why unaweza hisi ninmhatak mtu kumbe ni ile hali tu ya kupenda kusikia ukweli ukisemwa kama ulivyo[emoji16].
Russia haijabadilisha msimamo wake ,bado inapokea fedha za malipo ya manunuzi ya mafuta au gesi kwenye Ruble tu kutoka kwa inchi zisizo rafiki.Ndio maana malipo yote yanayofanywa kwenye sarafu ya nchi nyingine lazima yawe converted kwenye Ruble ili kukamilisha manunuzi.Kumbuka kulipa na kununua ni vitu viwili tofauti.
 
Kumbe mwanzoni shida ilikuwa ni lugha sasa umenielewa na umefafanua vyema.

Russia mwanzon alisema anapokea Rubo tu.. Then kakubali kupokea Pesa ya ulaya na yeye mwenyewe ndiyo ataikonvet kwenda kwenye pesa yake.
Iki ndicho inabidi kielezwe na mleta mada na si alichokiandika hapo juu.

Hayo ya kupoteza/kupata mimi siyajadili, ninajadili kile kinachoendelea katka uhalisia wake.
No body pays us bwasheeeee.. Habari ielezwe kama ilivyona si kinyume chake.
Wengine nafsi zetu mtu anapopotosha ukweli hata kidogo tunajihisi offended that's why unaweza hisi ninmhatak mtu kumbe ni ile hali tu ya kupenda kusikia ukweli ukisemwa kama ulivyo😁.
Mkuu Samahani sijaelewa vitu viwili hapa vinanitatiza unaweza niweka sawa nikaelewa zaidi

1: Ili nchi za EU zipate rubble kununulia gas ya mrusi hiyo rubble wataitoa wapi kama sio kwa mrussi mwenyewe

2: kama russia anapokea euro then mwenyewe anaibadilisha kuwa rubble hili mbona n kama mwanzo tu maana angeweza fanya hivi pia

Mimi navyoelewa ni kwamba sasa gas ipo quoted in rubbles na ndio means of payment kwahiyo EU inambidi ili apate gas lzm aende Forex market akanunue rubbles jambo ambalo linarudisha Strength ya rubble
 
The mode of payment is very clear! It requires the buyer to open two account at the specified bank which has not been sanctioned due to its role in gas business. One account should be in Euro or dollar, the other one in rubles. If you decide to buy in dollars or euros it is ok. But the bank will convert them into rubles and credited to your ruble account. Then the money in ruble form will be used to purchase the gas. Only after this process is complete, then the gas will be released to the buyer!!
The article quoted belongs to CNN mind you!! You can go to their website in case you are in doubt!!
This is merely a stop gap measure.EU is phasing out Russian gas in period not exceeding 6 month. The world is awash with natural gas.Mozambique,QAtar,Nigeria combined have more than enough gas to satisfy EU demand twice over .Russia is not a natural gas monopoly. Further EU is developing nuclear power plants to diversify its energy portfolio. Use of heat pumps as opposed to conventional heaters for winter heating, will further lower enegy demand. The free world will not bow down to the demands of a mad despot.
 
Sisi tulio zaliwa hatuitaji malezi bora ...mnaoitaji malezi bora ni kama wewe ambaye ulialishwa kama Sa100
Confirmed. Umezaliwa na kulelewa uwanja wa fisi Dar. Ndio maana umejaa maneno machafu. Sishangai.
 
Back
Top Bottom