Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Sawa... lakini ninauona ugumu wa kumtoa Huawei hapo alipo kwasasa..
ikiwa Huawei itayumba ama kufa kama Ztel basi china ni nyepesi.
Soko la china pekee linamtosha Huawei hata kama nchi zingine zitafuata upuuzi na wivu wa marekani wa kutaka yy tu ndo awe juu, alimletea mchina corona ili aweze destabilize uchumi wa mchina lakini matokeo yake yy ndo ameathirika zaid, trump alikua na taarifa kuhusu corona tangia early 2019 lakini alikaa kimya kwa sababu ya mission ya siri.
 
Wabongo wanajifanya wanajua kuliko US and China Gov
 
Bajeti ya USA ni mara tatu ya bajeti ya China..ivyo awa macho madogo watulie ..kushindana na marekani nu kujitafutia matatizo ya kudumu na wananchi wake..
 
Wewe Chige acha ubishi izo gari zinaungwa tu apo Iran azitengenezwi apo
 
Sio India, China anamigogoro ya mpaka na nchi nyingi Kama Russia, Vietnam, malysia, Indonesia, na phillipines, na hao wote wana-asilimia kubwa ya kukataa kutumia huawei
 
Acha upotoshaji chipset bado ni tatizo kwa wachina, Kama ilivyo injini za magari, unatakiwa uwe na teknologia ya juu sana ili uweze kuimasta na kutengeneza chipset

Yaan uwe na uwezo wa kutengeneza kifaa alafu ukiagize kweli Ina make sense
 
Ilo la KORONA kuwa kazi ya Marekani umelitoa wapi?.
Alafu kwanini wachina wenyewe hawatoi dai ilo, ila sisi tuliopo uku kwapani mwa Dunia ndo tunashadadia sana dai ili?

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Ilo la KORONA kuwa kazi ya Marekani umelitoa wapi?.
Alafu kwanini wachina wenyewe hawatoi dai ilo, ila sisi tuliopo uku kwapani mwa Dunia ndo tunashadadia sana dai ili?

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app

FYI, COVID-19 ilikuwa import na wanajeshi wa USA walio tembelea China kushiriki kwenye michezo ya kijeshi huko Wuhan China, cha ajabu wanajeshi wa Merikani hawakushinda medali hata moja, badala yake wakati wa mapumziko walikua wanaonekana wana wander aimlessly kweye Soko kubwa la vyakula/samaki na nyama la mji wa Wuhan, michezo ya kijeshi yalifanyika mwaka jana(2019)Oct/Nov katika mji huo huo wa Wuhan, sasa kitu gani kilikumba mji wa Wuhan mwezi mmoja baada ya wanajeshi hao kurudi kwao Merikani? Wakazi wa mji huo wakakumbwa na ugonjwa wa COVID-19 ambao wanasayasi wa kichina ndio walifanya kazi kubwa kubaini gnome make* up yake na jinsi unavyo ambukiza na kusambazwa - taarifa hizi wakapewa WHO na kutahadhalisha Dunia, vile vile Wachina walitoa taarifa hizo kwa wana*sayansi wenzao kwenye Vyuo Vikuu mbali mbali vya tiba Duniani.

Sasa nini kulikuja gundulika baadae kabisa, wanasayansi wa huko Marekani wakakumbuka mwaka mmoja hivi kabla baadhi ya majimbo ya huko Merikani yalikumbwa na kile walicho kiita mafua makali (sever influenza)lakini dalili zake na vifo vilifanana sana na COVID-19, hivyo wakakata shauri kuchunguza tena kwa kina baadhi ya mabaki ya miili ya Wamerikani walio kufa kwa ugonjwa wa *“sever influeza” mwaka mmoja kabla ya COVID-19 kuikumba Dunia, *unajuwa wanasayansi wa huko Merikani waligunduwa nini?Kumbe wagonjwa hao walifariki kutokana na COVID-19 na sio “sever influenza ” wala sijui nini? Tangu Ti-Xing-Ping awabane Trump na Pompeo na ukweli huo baada ya kuchoshwa na uzushi wao wa kuisingizia China - siku hizi Trump political rhetoric zake za kuihusisha China na ugonjwa wa korona zimekoma, ndio maana hata viongozi wengi Duniani hawaungi mkono madai ya Trump na wapambe wake kuhusu China na korona type COVID-19.
 
Hahaaa China kama mizimu yaani .... Imagine figisu zote hizo but still huawei anaendelea kuongoza usukani wa mauzo duniani ...duhh jamaa wana mikakati adhimu sana ya kibiashara
Kuna ulazima wa jiwe kwenda semina elekez labda na sisi tutashain
 
Israel ni ya kwanza acha upotoshaji aangaia tech entrepreneur wengi wao ni Jews, mfano Larry page, Sergey brin, Zuckerberg, jamaa wa WhatsApp na wengine wengi
😀😆 mkuu nadhani hujaelewa kilichoongelewa. Hawaongelei watu wa asili ipi wana uwezo wa innovation kuliko wengine, yanaongelewa mataifa kama yalivo hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…