Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

Halafu nawashangaa mnaowabeza wachina na kampuni yao kufa muda si mrefu kisa vikwazo vya chipset, hivi kama mchina kapambana kaja na 5G tech kabla ya USA kwanini hamuamini hata hizo chip si muda mrefu atatengeneza! Msichokielewa ni kuwa nchi yoyote inayo invest R&D ina lengo moja tu, kuja kujitegemea katika nyanja mbalimbali. Wachukulieni poa ila hawa jamaa wanaweza kuwa na macho madogo ila sio ubongo. Kuna vitu wanavifanya hasa kwenye ujenzi wa miundombinu ukiangalia documentaries unabaki mdomo wazi. Tuwape muda na tuwe na akiba ya maneno hawa jamaa sio sick men of Asia tena kama ilivozoeleka
 
Yamefika 11 tayari?

China mwaka huu angeacha upite, sababu kama mpaka durtete kamgeuka upepo sio mzuri.
 
Sera za kiuchumi za dunia ya sasa sio za kujitegemea mkuu, ni za kudominate dunia. China amefail toka day one, kajikita kwenye kuuza tuvitu badala ya ideology.

USA Kazisukuma nchi marafiki zake toka mwaka 2017 ziachane na china bila mafanikio sababu alikuwa anatumia ubabe -utrump. Nadhani china kamiscalculate resistence of the westen countries kwa USA.

Issue ya Hong kong imewavuruga west yote
 
Hawa wana hasira na kipondo walichoshushia hawana lolote
 
Hapa tuna cha kujifunza,jiwe inabid awape bajet majasus wetu waende China na us waende kuiba tech ya kutengeneza beli na jinz ukizingatia tuna raw material ya kufa mtu.
Ni sawa ugeze business plan ambayo hata huwezi itekeleza. Sisi hata tuibe teknolojia hatuwezi itekeleza maana wataalam wetu wanajua mambo kwenye makaratasi
 
nikikupa nadharia nyingine inayoeleza kwamba china ni muhuska 1 katika ili Saga la Corona, utasemaje?.

yaan marekani aunde janga, alafu maandalizi ya kulikabili nchini kwake yasiwepo!.


Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 

Yote yatapita - ukweli ni kwamba Dunia cannot afford do without China, viongozi Duniani wasikubali ku-join bandwagon ya US rabid hatred of everything Chinese, in other words Trump na genge lake wasitake kuburuza Mataifa mengine kuichukia Uchina bila sababu zenye mshiko zinazo sukumwa na wivu wa kike!

Kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba kasi ya meandeleo ya Wachina katika nyanja zs sayansi na teknolojia, kiuchumi na Kijeshi ndio unawafanya akina Trump na like mind wajaribu kuiwekea China a monkey spanner kwenye maendeleo yake ili hisi ipiku Merikani - binafsi naona US imekwisha chelewa hivi sasa US hawana uwezo tena wa kudhibiti Tsunami ya maendeleo ya Wachina, mimi nengeshauri US ishirikiane na China katika nyanja zote kuliko kupigana vita vya kiuchumi ambavyo mwisho wa siku US ndio itapoteza, mataifa hayawezi kususia kufanya biashara na uwekezaji kwenye Taifa lenye watu zaidi ya billion wakakimbilia kuangahika na watu wasio zidi 350 million(US).
 
Huku yote uliyosema yakiwa sana, ukumbuke pia kwamba sababu za wamarekani kuwalalamikia wachina ni za msingi pia, hasa maswala ya wizi wa technology.

na malalamiko haya hayajaanzia kwa trump, yameanza toka enzi za bush, na marais wengine clinton na obama, wote walikuwa wakifanya parties za kufurahia makubaliano na uchina kuhusu kuboresha sheria, sera na mifumo ya biashara ili kuendena na practices zinazokubalika kimataifa, CHINA hawakuwahi kutekeleza hata moja kwa uhalisia mpaka alipokuja tariff man.

CHINA imefikia hapo ilipo kwa msaada mkubwa sana wa Marekani, Mpaka mwaka jana, China bado ilikuwa inapokea misaada kama Taifa linaloendelea kutoka marekani, China imekuwa inapokea mikopo ya riba nafuu kutoka IMF kama Taifa linaloendelea kwa mujibu wa sera za USA.

Hata hii corana tunayoambiwa ni ya kichina, maabara iliyo wuhan inayosadikiwa kuturubisha hivi virusi, imekuwa ikioperate kwa grants kutoka USA.

USA is going to reverse all this, kwamba itafanikiwa kusitisha ukuaji wa kiuchumi na kiguvu wa uchuna, yetu macho. Japo mambo mawili mpaka sasa Trump amefanikiwa, kwanza ameiunganisha USA against CHINA, na sasa anaanza kupata mafanikio kuziunganisha nchi za ulaya na asia against CHINA pia.

Sasa Ukuaji wa uchumi wa CHINA ni export dependant, President xi analijua hili, na ndio maana akaanzisha sera za ukuzaji uchumi kwa misingi ya internal consumption, tatizo serikali ndio yenye hela, majority of the chinese do not have the money to spend.
 
WHO wiki jana imetuma wataalamu uchina kuchunguza chanzo cha covid-19
 
Acha upotoshaji chipset bado ni tatizo kwa wachina, Kama ilivyo injini za magari, unatakiwa uwe na teknologia ya juu sana ili uweze kuimasta na kutengeneza chipset

Yaan uwe na uwezo wa kutengeneza kifaa alafu ukiagize kweli Ina make sense
Yah lina make sana hueleweki kama mpaka mwaka huu US waliwahi kutumia SOYUZ made In RUSSIA kuendea anga zambali kwamaana US hana TECH yajuu ama RUSSIA ana TECH yajuu kuzidi US ?!
 
Israel ni ya kwanza acha upotoshaji aangaia tech entrepreneur wengi wao ni Jews, mfano Larry page, Sergey brin, Zuckerberg, jamaa wa WhatsApp na wengine wengi
Acha uongo na upotoshaji MKUU

Hao wote ni wamarekani usidanganye Umma.
 
USD bajet ni zaidi ya trillion 4 uko na Trump atapiga adi Trillion 5 USD ...uyo mchina anatembea na usd trillion moja
Acha kutudanganya wewe kijana mnamahaba mpaka mnazusha tu upupu hem tafta data ulete.....
 
Hujui usemalo nenda google
Hajui hajui anakurupuka tu anadhani UCHINA niakama kanchi chake anachotoka

Muwe mnaunda group lenu huko kwanza uwe unawamezesha mambo makubwa kama hawa waje wapinge na data sio kukurupuka tu nakusema uongo

Kwan hawajui ku google ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…