Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
aseee yaan mahabba yamewakaba jamaa mpaka yamepitiliza sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Skuizi ukiwa mtaalamu ubabambikiziwa uyahudi [emoji1787]
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
How big is China's budget? According to the main one, China's government spent about 23.5 trillion yuan ($3.4 trillion) in 2019. That compares with an estimated U.S. federalbudget of $4.6 trillion in 2020 -- not including any recent measures to deal with the coronavirus.Mar 13, 2020Bajeti ya USA ni mara tatu ya bajeti ya China..ivyo awa macho madogo watulie ..kushindana na marekani nu kujitafutia matatizo ya kudumu na wananchi wake..
Kasome ishue ya south china sea dispute, China anamigogoro na nchi nyingi Hilo liko wazi labda wewe ndo hujuiAcha uongo na upotoshaji MKUU
Hao wote ni wamarekani usidanganye Umma.
MKUU naona unahamisha magoli ?!Kasome ishue ya south china sea dispute, China anamigogoro na nchi nyingi Hilo liko wazi labda wewe ndo hujui
Hawakuenda kwabahati mbaya kule aseee.....Nakubaliana nawe kuhusu mchango mkubwa wa USA katika ukuaji wa uchumi na ubohaji wa teknolojia katika Taifa la Uchina pamoja na kuwasomesha vitjan wengi wa Uchina katika vyuo vik a ufundi vya huko Merikani na Ulaya, walikuwa wengi miaka hiyo,wengine nilisoma nao nilicho kiona mimi Chinese are fast learner, highly intelligent(tttRt5 na wana uzalendo kweli kweli wengi wao walirudi Uchina baada ya kuhitimu shahada zao.
Ndio namaanisha magoli sababu hatu wale wanajeshi waliouliwa sio wa India Bali wamarekaniMKUU naona unahamisha magoli ?!
Hicho nlicho ku quote na hio ya Dispute ya CHINA inahusianaje MKUU ?!....
Hawakuenda kwabahati mbaya kule aseee.....
hakika aseee nisuala lamuda tu nawakati.....Ni kweli mkuu, Wachina walio soma vyuo vikuu vya kiufundi Marekani na Ulaya na wakarudi Uchina baada ya kuhitimu shahada zao ndiyo walio iwezesha China kupiga hatua kubwa katika masuala ya sayansi na teknolojia pamoja na uchumi wa China kushika namba mbili Duniani nyuma ya USA, wala hilo alishangazi hata kidogo kwa kuwa Oriental race(Chinese,Japanese,
Koreans) ndio wanaongoza Duniani kuwa ni binadamu wenye IQ kubwa kuliko binadamu wengine, hilo limekuwa proven scientifically i.e halina ubishi, hilo limechangia sana far east kuwa na maendeleo makubwa ya kisayansi na kiteknolojia pamoja na uchumi kuwa mkubwa ndani ya muda mfupi sana, African Nations gotta lot to learn from them Orientals, honestly.
Nionavyo mimi ndani ya miaka kumi China ndiyo itakuwa inaongoza kiuchumi Duniani, licha ya USA kuiwekea kauzibe China ili hisiwazidi, they shall overcome eventually - my opinion.
mbna hueleweki mzeee.....Ndio namaanisha magoli sababu hatu wale wanajeshi waliouliwa sio wa India Bali wamarekani
Jibu lako ni Sawa ushabikie kwamba Wazaramo wa DSM wanafaulu na wakati topten inachezea makbila yale pendwa na Baba wa Taifa. Wahaya, wanyakyusa na Chaggas[emoji3][emoji38] mkuu nadhani hujaelewa kilichoongelewa. Hawaongelei watu wa asili ipi wana uwezo wa innovation kuliko wengine, yanaongelewa mataifa kama yalivo hivi sasa
WHO wiki jana imetuma wataalamu uchina kuchunguza chanzo cha covid-19
Tatizo sio sim, ni mahusiano.Huwawei ni simu nzuri sana, nashangaa sana kuona marekani analeta fitina.
Sasa hawana namna, watakubali tu sababu lawama zinawafuata kutoka kila kona, I hope wameishafuta na kupoteza sources zote za ushahidi.Mkuu, WHO wanatafuta mbinu za kurudushiwa ruzuku ambazo USA ilisitisha hivi karibuni - watazuga zuga kwamba wanafanya uchunguzi, just to please Trump.
Kwanza Uchina haiwezi kuruhusu upuuzi huo ufanyike nchini mwake .
nikikupa nadharia nyingine inayoeleza kwamba china ni muhuska 1 katika ili Saga la Corona, utasemaje?.
yaan marekani aunde janga, alafu maandalizi ya kulikabili nchini kwake yasiwepo!.
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Mkuu hauna Ushahidi usio acha mashaka kwamba Usa imehuska katika ili janga.Ma viroligists wa jeshi la Marekani walianza miaka mingi to timker around ns gnomes za virus vya Corona kwenye maabara ya kijeshi - ingawa kuna strain nyingi za virus vya corona lakini hii ya COVID-19 ni tofauti kabisa ndio maana wana sayansi wa Ufarasa na Italy wanasema virus vina components za virus vya AIDS na Malaria ndio baadhi ya wsgonjwa wakipewa Chloroquine/Hydroxylchloroquine au dawa za kufubaza virus vya AIDS wagonjwa wanapata nafuu, ndio maana wanasayansi wana insist kwamba virus vya COVID-19 vimechongwa na wanadamu sio natural phenomena.
Mbona hamu hoji kile Wamerika walicho zuga Dunia kwamba ulikuwa ni ugonjwa wa mafua makali huko Marekani maelfu wakapoteza maisha kwenye baadhi ya majimbo mwaka moja baadae ijajs gunfurika kwambs kumbe Wamerika waliugua na wengine kufariki kutokana na ugonjwa ea COVID-19 na sio sever influeza, ugonjwa huo unakuja kuhibukia tena Wuhan China mwaka mmoja baadae ulirukaje
Anaweka kwengine kwake tayari, na sababu nyingine ya kibihasharaKwanini ni lazima kwa Hauwei kuweka 5G kwa wenzake, kwanini asiweke China mbona ni kubwa sana?!
Anaotaka kuwawekea hawamtaki sasa. Aje huku kwetu aweke hata 100G, kwanza hata hatufahamu ni nini, ata akiweka 1G nani atahoji, aache kulazimisha asipotakiwa. Mbona sisi tunawapenda wachina ni marafiki zetu, why hawaji Tanzania na hiyo 5G yao.Anaweka kwengine kwake tayari, na sababu nyingine ya kibihashara
Na hii space X ya juzi ilioacha dunia ambayo ni usable rocket nayo ni Tech ya Mrusi???Yah lina make sana hueleweki kama mpaka mwaka huu US waliwahi kutumia SOYUZ made In RUSSIA kuendea anga zambali kwamaana US hana TECH yajuu ama RUSSIA ana TECH yajuu kuzidi US ?!