Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
What goes around comes aroundIla sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Kanuni zipo wazi....! Mnatakiwa kubalance story....!Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Kwa mujibu wa sheria kila bango hulipiwa kilingana na saizi , design ya bango hiloChanzo kingine cha mapato....!!! Au kanuni ya kujitangaza kupitia mabango ya kwenye magari ilibadilishwa!? Taratibu, Makamanda msiwake....ha ha ha aaa....angalizo hili ni kwa vyama vyote.
Vote wiselyIla sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Ohooooo!!!Nimeipenda hii. Hakika mkuu unastahili mwanacdm bora wa mwaka hapa jf.
Mbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Kunahaja gani ya kufka kwenye eneo LA tukio kuona kinachoendlea then uhabarishi wananchi mnachikichia sawa na kukinga maji kwenye tenga mkuuMbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!
Kuna upya gani katika ili?..mbona ipo miaka kibao tuu..hata kina makamba waliitumia 2015 kwenye Mabus...na hii channel inakusaidia kujiweka katika macho ya watu na Kuleta awareness,lakini haikusaidii kutangaza Sera zako Kwa audience kubwa Kwa wakati mmoja.
Level anazopaa kidundurusi hutavifikia kamwe maisha yako yotehata ukichanganya na mjani wa Kingston.Wewe ni mshenzi mwili mzima una akili za kidundurusi
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!
Kupita bila kupingwa ipo tangu siasa za vyama vingi mkuu!! Kuna uwezekano ulikuwa bado kinda ndiyo maana hujui kuwa kupita bila kupingwa ilikuwapo!Sera tunaongea tu kama sehemu ya kusherehesha, ila kiukweli wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kujali sera, bali sababu nyingine kama mazoea, rushwa, hamasa nk. Ni asilimia chache sana wanachagua kwa sera. Na sasa hivi chini ya Magufuli, kumeibuka aina nyingine ya kupata uwakilishi kwa kupita bila kupingwa.
Sheria zipo duniani kote siyo TZ tu. Hata USA huruhusiwi kutangaza matokeo kabla hayajathibitishwa na Tume ya Uchaguzi.TBC tuliwafukuza hata 2010, hakuna chombo chochote kinafanya kazi kwa kuwaiga hao TBC. Sasa hivi vyombo vya habari chini ya Magu ili viwe salama ni kuisifia ccm na kuisujudia, na kuwakwepa wapinzani. Angalia kilichotokea kwa clouds, ndio utajua madictator huendesha vipi vyombo vya habari.