Uchaguzi 2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

Uchaguzi 2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza .

Subpost 2 - WANAMAKAMBAKO NAOMBA KURA YAKO KUWA MBUNGE WA JIMBO LETU.  UCHAGUZI  ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 3 - WANAMAKAMBAKO NAOMBA KURA YAKO KUWA MBUNGE WA JIMBO LETU.  UCHAGUZI  ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - WANAMAKAMBAKO NAOMBA KURA YAKO KUWA MBUNGE WA JIMBO LETU.  UCHAGUZI  ( 640 X 640 ).jpg

Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
 
Chanzo kingine cha mapato....!!! Au kanuni ya kujitangaza kupitia mabango ya kwenye magari ilibadilishwa!? Taratibu, Makamanda msiwake....ha ha ha aaa....angalizo hili ni kwa vyama vyote.
 
Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Kanuni zipo wazi....! Mnatakiwa kubalance story....!

Siyo mwanasiasa anatoa tuhuma nzito na mbaya kwa mwenzake...halafu nyinyi kwanza hamuombi ushahidi wa kuzipa nguvu tuhuma hizo pili hamuendi upande wa pili wa aliyetuhumiwa kupata majibu ya tuhuma hizo....!!! Badala yake mbio mnaenda mitamboni kurusha tuhuma hizo tena kwenye " prime time"!

Hivyo, lazima mshughulikiwe msipofuata maadili yaliyowekwa wazi na Tume ya uchaguzi pamoja na TCRA.
 
Wagombea wawe wabunifu ili kufikia wananchi haswa wa vijinini wa mijini wetu hawa
 
Kuna upya gani katika ili?..mbona ipo miaka kibao tuu..hata kina makamba waliitumia 2015 kwenye Mabus...na hii channel inakusaidia kujiweka katika macho ya watu na Kuleta awareness,lakini haikusaidii kutangaza Sera zako Kwa audience kubwa Kwa wakati mmoja.
 
Ila sio fear kwa anachofanya rais wetu? Sasa hivi ukitaka kupigwa faini na TCRA we rusha vipindi vya wapinzani.
ANANICHUKIZA HAPA TU
Mbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!
 
Mbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!
Kunahaja gani ya kufka kwenye eneo LA tukio kuona kinachoendlea then uhabarishi wananchi mnachikichia sawa na kukinga maji kwenye tenga mkuu
 
Kuna upya gani katika ili?..mbona ipo miaka kibao tuu..hata kina makamba waliitumia 2015 kwenye Mabus...na hii channel inakusaidia kujiweka katika macho ya watu na Kuleta awareness,lakini haikusaidii kutangaza Sera zako Kwa audience kubwa Kwa wakati mmoja.

Sera tunaongea tu kama sehemu ya kusherehesha, ila kiukweli wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kujali sera, bali sababu nyingine kama mazoea, rushwa, hamasa nk. Ni asilimia chache sana wanachagua kwa sera. Na sasa hivi chini ya Magufuli, kumeibuka aina nyingine ya kupata uwakilishi kwa kupita bila kupingwa.
 
Mbona mliwafukuza TBC1 sasa vyombo vya habari vyote vimewasusa mtakula jeuri yenu!

TBC tuliwafukuza hata 2010, hakuna chombo chochote kinafanya kazi kwa kuwaiga hao TBC. Sasa hivi vyombo vya habari chini ya Magu ili viwe salama ni kuisifia ccm na kuisujudia, na kuwakwepa wapinzani. Angalia kilichotokea kwa clouds, ndio utajua madictator huendesha vipi vyombo vya habari.
 
Sera tunaongea tu kama sehemu ya kusherehesha, ila kiukweli wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kujali sera, bali sababu nyingine kama mazoea, rushwa, hamasa nk. Ni asilimia chache sana wanachagua kwa sera. Na sasa hivi chini ya Magufuli, kumeibuka aina nyingine ya kupata uwakilishi kwa kupita bila kupingwa.
Kupita bila kupingwa ipo tangu siasa za vyama vingi mkuu!! Kuna uwezekano ulikuwa bado kinda ndiyo maana hujui kuwa kupita bila kupingwa ilikuwapo!
 
TBC tuliwafukuza hata 2010, hakuna chombo chochote kinafanya kazi kwa kuwaiga hao TBC. Sasa hivi vyombo vya habari chini ya Magu ili viwe salama ni kuisifia ccm na kuisujudia, na kuwakwepa wapinzani. Angalia kilichotokea kwa clouds, ndio utajua madictator huendesha vipi vyombo vya habari.
Sheria zipo duniani kote siyo TZ tu. Hata USA huruhusiwi kutangaza matokeo kabla hayajathibitishwa na Tume ya Uchaguzi.
 
Baada ya kubadirisha rangi ya gari vipi usajili wa hilo gari lenyewe.
Maana naamini lilisajiliwa kwa rangi tofauti na hiyo.
 
Back
Top Bottom