Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Hakuna serikali isiyo na maadui(wapinzani) mbona hata familia zina maadui, ukifikiria hivyo ni makosa makubwa sana. Vyombo vya nje na ndani kazi yao ni kutangaza. Kwani mbona mabalozi wapo hapo unadhani hawapati habari zote. Serikali iache waandamane kwani itapungukiwa na nini? Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha. Yaani nimeshangaa sana kuona hivyo. Mpaka inatia aibu kwenye anga za kimataifa.
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
 

Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 3
Hakuna serikali isiyo na maadui, ukifikiria hivyo ni makosa makubwa sana. Vyombo vya nje na ndani kazi yao ni kutangaza. Kwani mbona mabalozi wapo hapo unadhani hawapati habari zote. Serikali iache waandamane kwani itapungukiwa na nini? Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha. Yaani nimeshangaa sana kuona hivyo. Mpaka inatia aibu kwenye anga za kimataifa.
Ni kama hakuna maandamano wala vurugu za hivyooooo, sasa nimeshangaa mabe eru kuyaoa kipaumbele,
Huu sio uchochezi?
Au sio kuhamasisha vijana?
Amani yetu ni tunu
 
Ni aibu kubwa kwa serikali kwa kweli,hoja za upinzani zijibiwe serikali iache mara moja kutupa maneno matupu alafu waliotekwa hatuwaoni!! Upinzani wapo kutupigania sisi tulio wengi na tupo nyuma yao
Sio kweli, viongozi wa wapinzani wanajali matumbo yao,
Hawakujali wewe, ccm ndio inayokujali bwashee
 
Wa ndani ya chama ni hohe hahe hawana madhara, hawa mabeberu ndio shida
Hakuna beberu mwenye interest na ugomvi kwa Tz, kitu gani walichowahi kuwaomba msiwape?

Mention kitu kimoja tu ambacho wanakitaka hawawezi kukipata.

Hebu kasomeni maarifa ya jamii ya darasa la 6 B, Tunakiongozi “nationalist”?
 
Hakuna beberu mwenye interest na ugomvi kwa Tz, kitu gani walichowahi kuwaomba msiwape?

Mention kitu kimoja tu ambacho wanakitaka hawawezi kukipata.

Hebu kasomeni maarifa ya jamii ya darasa la 6 B, Tunakiongozi “nationalist”?
Acacia unawakumbuka? Wazungu wana visasi visivyoisha
 
Back
Top Bottom