blackberryz30
Senior Member
- Jan 21, 2018
- 141
- 197
Hivi huwa ni mabeberu tu....hakuna majike ....!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu original hata majike ni mabeberu tu.Hivi huwa ni mabeberu tu....hakuna majike ....!?
Tuseme serikali haijateka , labda chadema wanatekana ila kwann Ccmu wazuie watu kukosoa UTEKAJI Kwa njia ya maandano ?Kwa serikali hakukuwa na haja ya kumchukua vile, wangemtaka wangemchukua kimya kimya na wala hakuna mtu angejua, serikali sio wajinga hivyoooo,
Hii ni wazi ni wenyewe kwa wenyewe,
Silaha watu wanazo, pingu wanazo na watu wanao
Fikira kwa kina utaona uhalisia ulivyo
Serikali ina nguvu na mbinu bwashee
Unaunga mkono utekaji na mauaji kiholelaIla binafsi ningependa nilipongeze Jeshi la Polisi kwa weledi wa hali ya juu waliotumia katika kuzima hayo maandamano.
Kiukweli wamewaaibisha pakubwa sana hao waandamanaji ambao walijiandaa kutengeneza mazingira ya kutumika nguvu kubwa katika kuzima maandamano na ukamataji wa watuhumiwa wote bila hata kuwapiga kofi na kuwachukulia wote kwa kuzingatia haki za binadamu na utendaji wenye kutukuka pasipo kuleta athari kwa waandamanaji na wanachi wengine kuendelea na shughuli zao bila bughudha ya aina yoyote ile.
Maandamano ni kuhusu utekaji na mauaji kiholela , mwenzetu unaona sw watu kuuawaChama cha maliberali hakina sera. Sera yao ni uvunjifu wa amamani wapate huruma ya maliberali wenzao wa Ulaya.
Hawa ni watu wa hovyo kabisa, mashetani, hawafai kabisa kuwepo mitaani.
Mkuu sio kweli amani ipi unayosema tunayo hapa tanzaniaSasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Tuna amani haipo sehemu yeyote duniani, jaribu kutembea kidogo, au jisomee sanaMkuu sio kweli amani ipi unayosema tunayo hapa tanzania
Sio uchawa mkuu, maandamano ndio chanzo cha fujo hasa kwa style ya haya ya juzi yalivyoasisiwa na kutangazwa,Tuseme serikali haijateka , labda chadema wanatekana ila kwann Ccmu wazuie watu kukosoa UTEKAJI Kwa njia ya maandano ?
Tumia akil zako vzr , acha uchawa
Msome vizuri uelewe,Unaunga mkono utekaji na mauaji kiholela
Nakumbuka rais aliwahi kusema kuwa .... wametembea wee, lakin wamepata nini!! Akimaanisha kuwa waliwaaacha wakaamdamana lakini hakuma walichopata. Busara hiyo hiyo ingetumika umaarufu wao ungepungua....................... Serikali iache waandamane kwani itapungukiwa na nini? Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha. Yaani nimeshangaa sana kuona hivyo......................
Mwalimu alikuwa mjanja sanaNakumbuka rais aliwahi kusema kuwa .... wametembea wee, lakin wamepata nini!! Akimaanisha kuwa waliwaaacha wakaamdamana lakini hakuma walichopata. Busara hiyo hiyo ingetumika umaarufu wao ungepungua.
Nakumbuka kisa cha Nadhani alikuwa Kambona anarudi Tanzania. Wakati huo waziri wa mambo ya ndani alikuwa marehemu Lyatonga Mrema -alisema akirudi tu tutamkamat kwa kuwa aliondoka akiwa na kesi ya uhaini. Kwa mujibu wa taarifa za wakatihuo, inasemekana serikali iliomba ushauri wa Baba wa Taifa Marehemu Nyerere nini kifanyike Kambona akirudi. Kwanza aliwambia huyo Kambona nani anamjua katika kizazi cha sasa, ana umaarufu gani! Akawashauri kuwa wamuache tu aje wasifanye lolote.
Kweli siku aliyorudi, ndege aliyopanda ilikuwa na waandishi wa habari wengi wa kimataifa na ndio walikuwa wa kwanza kushuka kwenye ndege na kamera zao zikimulika uwanja kuchukua tukio la kukamatwa.
Hakukamatwa, badala yake alipokelewa na viongozi wa chama cha TADEA, kusindikizwa hadi ofisini nk. Baada ya siku mbili waandishi wa nje waliondoka bila ya kuwa na habari ya kuandika. Ulikuwa ndio mwanzo wa kuisha Chama hicho na Kambona wake.
Yawezekana nisiwe sahihi 100% lakini tukio lilikuwa hivyo
Ila haya maandamano yalikuwa na viashiria vyote vya uvunjifu wa amaniNakumbuka rais aliwahi kusema kuwa .... wametembea wee, lakin wamepata nini!! Akimaanisha kuwa waliwaaacha wakaamdamana lakini hakuma walichopata. Busara hiyo hiyo ingetumika umaarufu wao ungepungua.
Nakumbuka kisa cha Nadhani alikuwa Kambona anarudi Tanzania. Wakati huo waziri wa mambo ya ndani alikuwa marehemu Lyatonga Mrema -alisema akirudi tu tutamkamat kwa kuwa aliondoka akiwa na kesi ya uhaini. Kwa mujibu wa taarifa za wakatihuo, inasemekana serikali iliomba ushauri wa Baba wa Taifa Marehemu Nyerere nini kifanyike Kambona akirudi. Kwanza aliwambia huyo Kambona nani anamjua katika kizazi cha sasa, ana umaarufu gani! Akawashauri kuwa wamuache tu aje wasifanye lolote.
Kweli siku aliyorudi, ndege aliyopanda ilikuwa na waandishi wa habari wengi wa kimataifa na ndio walikuwa wa kwanza kushuka kwenye ndege na kamera zao zikimulika uwanja kuchukua tukio la kukamatwa.
Hakukamatwa, badala yake alipokelewa na viongozi wa chama cha TADEA, kusindikizwa hadi ofisini nk. Baada ya siku mbili waandishi wa nje waliondoka bila ya kuwa na habari ya kuandika. Ulikuwa ndio mwanzo wa kuisha Chama hicho na Kambona wake.
Yawezekana nisiwe sahihi 100% lakini tukio lilikuwa hivyo
sio amani bro ni uwoga tu ndo tunaishi naoTuna amani haipo sehemu yeyote duniani, jaribu kutembea kidogo, au jisomee sana
Mkuu unajua kusoma vizuri?Unaunga mkono utekaji na mauaji kiholela
Wanaokuja kuteka si mabeberu wala mbuzi wa nje ni WaTz wakujitambulisha ni polisi, endelea kujidanganya, hayajakufika.Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Kumbe chadema sio watanzania?Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Utakuwa mchache wa lugha, sikulaumuKumbe chadema sio watanzania?