Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Eeh nyundo tena? Zile ni risasi, lakini dereva angetuambia nani amezipiga
Ila nasikia amefichwa mbali kabisa asionekane
Kama n Risasi, Je npigaji wa Hzo Risasi n nan..?
CAse ikifika mahakaman ndio anatakiwa Shaidi akatoe ushaidi sio Police.
Ushaidi wa kimazingira n Kwamba Gari na Lissu limepigwa Risasi.
Je dereva anaweza kuwatambua vp watu waliofanya Tukio wakat wote walikua wanapambania Uhai wao.....?
Ww unaweza kumjua mtu uliye muona kwa mara ya kwanza toka kuzaliwa.....?
 
Kwa hiyo tunaweza kusema dereva ndie alimpiga? Coz kuna risasi zi gine zimepigwa chini ya kiuno kitu ambacho ni kigumu kwa mtu aliyeko nje
 
Kwa hiyo tunaweza kusema dereva ndie alimpiga? Coz kuna risasi zi gine zimepigwa chini ya kiuno kitu ambacho ni kigumu kwa mtu aliyeko nje
Ni vibaya kufanya 'rationslisstion' kwenye matatizo ya mtu mwingine. Kuna mama mmoja alikuwa akimcheka mwanamke mwenzake kwamba "ana kichwa kilichopinda". Yeye aliona hana hana hilo tatizo. Baada ya muda fulani kupita, alipata ujauzito na alijifungua mtoto ambaye kichwa kimepinda pia. Pengine Mungu alitaka kumwonyesha kwamba 'kama una mcheka huyu kwa vile siyo wewe, ngoja nikupe picha ya karibu', na watu walihusisha na kile alichokuwa akimcheka mwanamke mwenzake na kilichotokea kwa mtoto wake mwenyewe.
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
unakosea hii massage ni kwa watawala ndo wanaweza kutufikisha huko na wala si wananchi.
 
Kuna mahali nimeona wameripoti kuwa viongozi wa upinzani wamekamatwa ili kuzuia maandamano,

Nikawa najiuliza ni maandamano yapi hayo ambayo hayakufanyika kutokana na kukamatwa kwa viongozi wa upinzani.
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
Back
Top Bottom