Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
IMG-20240923-WA0050.jpg
 
Ila binafsi ningependa nilipongeze Jeshi la Polisi kwa weledi wa hali ya juu waliotumia katika kuzima hayo maandamano.
Kiukweli wamewaaibisha pakubwa sana hao waandamanaji ambao walijiandaa kutengeneza mazingira ya kutumika nguvu kubwa katika kuzima maandamano na ukamataji wa watuhumiwa wote bila hata kuwapiga kofi na kuwachukulia wote kwa kuzingatia haki za binadamu na utendaji wenye kutukuka pasipo kuleta athari kwa waandamanaji na wanachi wengine kuendelea na shughuli zao bila bughudha ya aina yoyote ile.
Sahihi kabisa
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha Kuna Amani gan wakati watu wanapotea/Wanatekwa sana. Na Sirikal ipo kmyaaa.

Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
Kuna Amani gan wakati watu wanapotea/Wanatekwa sana. Na Sirikal ipo kmyaaa.
 
Case ya Ben Saa 8. Ina miaka mingap.....?
Case ya Tundu lissu ina miaka mingap...?
Au bado uchunguzi unafanyika.....?
 
Back
Top Bottom