Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Nani huyo alikudanganya Accacia hawaoperate Tz? Kisasi gani wakati na fidia mmelalipa!

Huu mjadala unafaa kwa wanafunzi wa form4 humu wote watu wazima unatuchosha!
Kwani unafikiri wana furaha?
Mwamba aliwaminya na mpaka sasa mkataba ni ule serikali inataka, unafikiri wanafurahia hilo?
We huwajui mabeberu kumbe
 
Kinachosaliti taifa letu mpaka sasa ni ubongo wako huo nadhani kila mtu kajua.

Katiba ni nini? ( ni jumla ya mambo ambayo watu wote wamesema AMINA katika maisha ya kila siku na yatafuatwa bila kujali cheo,rangi,kimo au mali)

Katiba inasema AMINA watu wa-demostrate, wewe hapa unaleta habari za beberu.Was beberu around when you said AMEN to peacful demonstration.Sorry to say this but f*** U

God forgive me!
 
Hakuna serikali isiyo na maadui, ukifikiria hivyo ni makosa makubwa sana. Vyombo vya nje na ndani kazi yao ni kutangaza. Kwani mbona mabalozi wapo hapo unadhani hawapati habari zote. Serikali iache waandamane kwani itapungukiwa na nini? Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha. Yaani nimeshangaa sana kuona hivyo. Mpaka inatia aibu kwenye anga za kimataifa.
Hawa watu wangeachwa waandamane, sijui ni nani aliyemshauri Rais awazuie.
 
Kinachosaliti taifa letu mpaka sasa ni ubongo wako huo nadhani kila mtu kajua.

Katiba ni nini? ( ni jumla ya mambo ambayo watu wote wamesema AMINA katika maisha ya kila siku na yatafuatwa bila kujali cheo,rangi,kimo au mali)

Katiba inasema AMINA watu wa-demostrate, wewe hapa unaleta habari za beberu.Was beberu around when you said AMEN to peacful demonstration.Sorry to say this but f*** U

God forgive me!
Yaani unitukane mimi halafu umuombe msamaha god?
Halafu ndio mnataka nchi? Na mabeneru wenu?
 
Ni kama hakuna maandamano wala vurugu za hivyooooo, sasa nimeshangaa mabe eru kuyaoa kipaumbele,
Huu sio uchochezi?
Au sio kuhamasisha vijana?
Amani yetu ni tunu
Ila sasa hakuna amani ,amani mnayo tu nyie wa uvccm,wengne kila mtu anaogopa kutekwa na kupelekwa kule katavi akaliwe na fisi kama satifa!!
 
Unamuita adui wakat alikupa mabillion ya pesa za Covid ukaenda kujengea mashule na zahanati, wajinga ni weng sana.

Tena sio mabilioni ni matrilioni ya pesa ukaenda kujenga zahanati subili ukianza kudaiwa ndo utajua nan rafiki na nani adui
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
Ndugu yako ajatekwa wala kuuliwa.....kwako unaona poa tu.......msiba usikilize kwa jirani 😡
 
Back
Top Bottom