Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

Sio habari ya kutekwa au kuuliwa au msiba, ni habati ya amani ya Tanzania,
Tanzania kwanza
Amani gani wakati mtu kashushwa kwenye Basi mchana kweupe na watu wenye silaha za moto.......kavalishwa pingu.....kaenda kuuwawa na kumwagiwa tindikali............narudia msiba usikie kwa jirani.
 
Amani gani wakati mtu kashushwa kwenye Basi mchana kweupe na watu wenye silaha za moto.......kavalishwa pingu.....kaenda kuuwawa na kumwagiwa tindikali............narudia msiba usikie kwa jirani.
Kwa serikali hakukuwa na haja ya kumchukua vile, wangemtaka wangemchukua kimya kimya na wala hakuna mtu angejua, serikali sio wajinga hivyoooo,
Hii ni wazi ni wenyewe kwa wenyewe,
Silaha watu wanazo, pingu wanazo na watu wanao
Fikira kwa kina utaona uhalisia ulivyo
Serikali ina nguvu na mbinu bwashee
 
Ingekuwa wenyewe kwa wenyewe....serikali sio wajinga ungekuta imefanya jambo.....wasingekubali wachafuliwe wakati wanajua ukweli...........hii issue ungekuta imeisha kitabo sana
 
Shida nchi hii vilaza wengi sana, ulitaka wasiliport kwani wao hawaoni yanayotendeke
 
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu

Kuweni makini sana
Ila binafsi ningependa nilipongeze Jeshi la Polisi kwa weledi wa hali ya juu waliotumia katika kuzima hayo maandamano.
Kiukweli wamewaaibisha pakubwa sana hao waandamanaji ambao walijiandaa kutengeneza mazingira ya kutumika nguvu kubwa katika kuzima maandamano na ukamataji wa watuhumiwa wote bila hata kuwapiga kofi na kuwachukulia wote kwa kuzingatia haki za binadamu na utendaji wenye kutukuka pasipo kuleta athari kwa waandamanaji na wanachi wengine kuendelea na shughuli zao bila bughudha ya aina yoyote ile.
 
Back
Top Bottom