mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Uchunguzi unaendelea bwasheeKama watu wanaweza kutekwa na kuuliwa bila wahusika kukamatwa ,wewe unafikiri adui ni nani ?
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Ni kama hakuna maandamano wala vurugu za hivyooooo, sasa nimeshangaa mabe eru kuyaoa kipaumbele,Hakuna serikali isiyo na maadui, ukifikiria hivyo ni makosa makubwa sana. Vyombo vya nje na ndani kazi yao ni kutangaza. Kwani mbona mabalozi wapo hapo unadhani hawapati habari zote. Serikali iache waandamane kwani itapungukiwa na nini? Nimeshangaa kuona polisi inatumia silaha kwa watu wasio na silaha. Yaani nimeshangaa sana kuona hivyo. Mpaka inatia aibu kwenye anga za kimataifa.
Wa ndani ya chama ni hohe hahe hawana madhara, hawa mabeberu ndio shida😀😀
Maadui mnao ndani ya chama acheni kujifyatua akili.
Sio kweli, viongozi wa wapinzani wanajali matumbo yao,Ni aibu kubwa kwa serikali kwa kweli,hoja za upinzani zijibiwe serikali iache mara moja kutupa maneno matupu alafu waliotekwa hatuwaoni!! Upinzani wapo kutupigania sisi tulio wengi na tupo nyuma yao
Sawa bwashee, hakuna shidaWe bwege tu kama mabwege wengine mleta mada
Hakuna beberu mwenye interest na ugomvi kwa Tz, kitu gani walichowahi kuwaomba msiwape?Wa ndani ya chama ni hohe hahe hawana madhara, hawa mabeberu ndio shida
Chadema is also a government within their system (party)Democide.
Mtoa mada kashiba ugaliKama watu wanaweza kutekwa na kuuliwa bila wahusika kukamatwa ,wewe unafikiri adui ni nani ?
Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema,
Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu
Kuweni makini sana
Acacia unawakumbuka? Wazungu wana visasi visivyoishaHakuna beberu mwenye interest na ugomvi kwa Tz, kitu gani walichowahi kuwaomba msiwape?
Mention kitu kimoja tu ambacho wanakitaka hawawezi kukipata.
Hebu kasomeni maarifa ya jamii ya darasa la 6 B, Tunakiongozi “nationalist”?