King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
hahahaaha... Aisee.
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.
5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.
6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.
Wakuu mnaweza kuongezea.
Hivi hizi kampeni kuna mahali zimefanyika....
Wekeni hata picha basi.
Hakuna aibu kwa wanasiasa.Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.
5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.
6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.
Wakuu mnaweza kuongezea.
Mkuu wanafanya ila hakuna hamasa wala watu. Walitegemea watu watajaa kwenye kampeni zao, wakiamini hizi propaganda eti kuna maendeleo basi watu wataenda kuwasikiliza. Matokeo yake imekuwa kama disko lenye wanaume watupu