Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

Unataka watu waongeze umbea na uongo.
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.

1. Wamekosa washindani nchi nzima

2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.

3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.

4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.

5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.

6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.

Wakuu mnaweza kuongezea.
 
Kilichotokea ni aibu kwa taifa letu. Hivi ni kweli kwamba nchi nzima wapinzani wangeshinda kwa asilimia kubwa? Au ni mashaka tu kwamba Watanzania wameichoka chama tawala? Mbona kama ni miradi inasimamiwa vizuri na miradi mipya inaibuliwa? Kwanini tunakuwa na hofu inayoichafua taswira yetu kama nchi?
 
MWISHO WA UBAYA WA CCM NI AIBUUUUUU.....!!!
 
You are mentaly sick. Mtu yoyote yule anayefurahia kifo cha mwenzake ni mtu mwenye akili pungufu. Ninauhakika una ndugu wa jamii yako ambao hawana msimamo wa kisiasa kama wakwako, wakiwemo kwenye hilo lori,likaanguka ,akafa pia utafurahia na kueheherekea
Wanavyo bebana kwenye malori kama Mang’ombe yanayo pelekwa machinjoni, ngoja ya mwagike siku moja tufanye sherehe. Inshaallah
 
Nilimwona mkuu wa wilaya akipiga kampeni kafungua yeye kafunga yeye hakuna cha mtendaji wa kata wala diwani mwishoni akaanza kulia lia eti ohh hawajamtendea haki. Nyomi yenyewe sasa ni vituko. Anazungumzi standard gauge madaraja na midege wananchi wanalia njaa usalama hafifu ajira, umeme, maji na uibiwaji vijana vyao. Akiwa anahutubia mara tanesco nao wakafanya yao umeme kwao. Wakawasha kijeneta kikagoma kikapigwa kick wee mwishoni kikawaka. Wanatia huruma sana. Ngoja kwenye uchaguzi sasa nyomi yake watashangaa.
 
Hivi kuna kampeni zinaendelea za uchaguzii!!! Sina habari kabisa
 
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
 
Hakuna aibu kwa wanasiasa.
Wamekamata serikali za mtaa na ni maandalizi mazuri kwa uchaguzi ujao.
Watapata wabunge wengi zaidi na ruzuku itakuwa kubwa zaidi na watajijenga zaidi.
Bunge litakuwa chini yao na watafanya watakalo hata kama kwenye mikutano ya hadhara watakuwa wachache.
Swali la muhimu ni kuwa "walio na mawazo mbadala watachukua njia ipi kufikisha mawazo yao?"
Mpaka sasa nchi imetulia na watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida.

Sasa hivi bunge liko chini ya nani
 
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni

Sasa kama mtu mzima na digree yake mnatuaminisha hajui kuandika mwaka aliozaliwa mlitaka wagombee tuu?
 
Cha ajabu upinzani ndo wamegeuka kuwa wapiga picha na watoa habari wa kampen za ccm
 
Hv mnajua ni kiasi gani mmewaudhi polith
Watatest wapi binduki thao na virungu?
 
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
Shindeni ninyi pumbavu. .. Tumechoka kuuliwa.
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
masoudkipanya_B5J9Fv8l2M3.jpeg
 
Kilichotokea ni aibu kwa taifa letu. Hivi ni kweli kwamba nchi nzima wapinzani wangeshinda kwa asilimia kubwa? Au ni mashaka tu kwamba Watanzania wameichoka chama tawala? Mbona kama ni miradi inasimamiwa vizuri na miradi mipya inaibuliwa? Kwanini tunakuwa na hofu inayoichafua taswira yetu kama nchi?
Huna hoja wewe,pumbavu.

Maendeleo ya watu ama maendeleo ya vitu?
 
Sasa wanafanya kampeni za Nini au wananadi Sera gani wakati ni wao wenyewe tu kwanini wasijitangaze tu moja kwa moja?hayo ni matumizi mabovu ya bajeti huku wananchi na wanachama wakitaabika maisha magumu.
Wanahalalisha kupiga mabilioni yaliyotengwa kwa uchaguzi. CCM inaongoza kwa ufisadi
 
Kilichotokea ni aibu kwa taifa letu. Hivi ni kweli kwamba nchi nzima wapinzani wangeshinda kwa asilimia kubwa? Au ni mashaka tu kwamba Watanzania wameichoka chama tawala? Mbona kama ni miradi inasimamiwa vizuri na miradi mipya inaibuliwa? Kwanini tunakuwa na hofu inayoichafua taswira yetu kama nchi?

Kwa taarifa yako miradi pekee haitoi nafasi ya kushinda hasa kwa watu wanaopewa taarifa za upande mmoja, na kisha ikatokea watu hao wakisikia habari ya upande mwingine. Tumeona watu wakisomesha wanawake mpaka chuo kikuu kwa miadi ya kuwaoa, lakini wakawa acha vile vile. Lengo la ccm ni kushinda kwa zaidi ya 90%, lakini wakiangalia uwezo huo haupo, sana sana ni 60% kurudi chini jambo ambalo mwenyekiti wa ccm hakubaliani nalo kwa kuamini hiyo miradi ni lazima iimpe ushindi wa 100%. Na ukitaka kujua ccm haina uungwaji mkono mkubwa kama propaganda zinavyosema, nenda sehemu zenye kampeni, uone jinsi watu walivyo wachache huku kukiwa hamna hamasa kabisa. Kwenye huu uchaguzi huu ushindi wa ccm ni sawa na disko la wanaume watupu.
 
Back
Top Bottom