Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.

1. Wamekosa washindani nchi nzima

2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.

3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.

4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.

5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.

6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.

Wakuu mnaweza kuongezea.
2020 wasuse pia...
 
Kazi kweli kweli
IMG-20191124-WA0025.jpeg
 
Sasa nyie ndo mabwege kabisa....mnavyojichekesha hivyo itawasaidia nn....hamuoni advantage kwao ndo watawadominate zaidi....
 
Back
Top Bottom