Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.
5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.
6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.
Wakuu mnaweza kuongezea.
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa muziki na ngoma za asili mikutanoni.
5. Wanakusanyana Wilaya nzima kwenda mtaa mmoja ili mkutano uonekane umejaa watu.
6. Wameambulia watoto kwenye mikutano badala ya watu wazima.
Wakuu mnaweza kuongezea.
Wanavyo bebana kwenye malori kama Mang’ombe yanayo pelekwa machinjoni, ngoja ya mwagike siku moja tufanye sherehe. Inshaallah
Hakuna aibu kwa wanasiasa.
Wamekamata serikali za mtaa na ni maandalizi mazuri kwa uchaguzi ujao.
Watapata wabunge wengi zaidi na ruzuku itakuwa kubwa zaidi na watajijenga zaidi.
Bunge litakuwa chini yao na watafanya watakalo hata kama kwenye mikutano ya hadhara watakuwa wachache.
Swali la muhimu ni kuwa "walio na mawazo mbadala watachukua njia ipi kufikisha mawazo yao?"
Mpaka sasa nchi imetulia na watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida.
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
Shindeni ninyi pumbavu. .. Tumechoka kuuliwa.Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
Wakajaribu kufosi kingi Jana.. Eti ohh kuna watu wamejipanga kufanyeje sijui....Hv mnajua ni kiasi gani mmewaudhi polith
Watatest wapi binduki thao na virungu?
Kabisa mkuu.Washezi sana viongozi wa sisiemu. Ni wakati muafaka wanachama watiifu wa sisiemu kufanya uasi na kuwatoa hao viongozi washamba.
Huna hoja wewe,pumbavu.Kilichotokea ni aibu kwa taifa letu. Hivi ni kweli kwamba nchi nzima wapinzani wangeshinda kwa asilimia kubwa? Au ni mashaka tu kwamba Watanzania wameichoka chama tawala? Mbona kama ni miradi inasimamiwa vizuri na miradi mipya inaibuliwa? Kwanini tunakuwa na hofu inayoichafua taswira yetu kama nchi?
Wanahalalisha kupiga mabilioni yaliyotengwa kwa uchaguzi. CCM inaongoza kwa ufisadiSasa wanafanya kampeni za Nini au wananadi Sera gani wakati ni wao wenyewe tu kwanini wasijitangaze tu moja kwa moja?hayo ni matumizi mabovu ya bajeti huku wananchi na wanachama wakitaabika maisha magumu.
Kilichotokea ni aibu kwa taifa letu. Hivi ni kweli kwamba nchi nzima wapinzani wangeshinda kwa asilimia kubwa? Au ni mashaka tu kwamba Watanzania wameichoka chama tawala? Mbona kama ni miradi inasimamiwa vizuri na miradi mipya inaibuliwa? Kwanini tunakuwa na hofu inayoichafua taswira yetu kama nchi?