Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau

kwahiyo kosa ni CCM au upinzani wenyewe kama wameamua kujitoa acha wenzao watambe
 
Wanahalalisha kupiga mabilioni yaliyotengwa kwa uchaguzi. CCM inaongoza kwa ufisadi
Na wananchi tulivyokua wajinga utakuta mtu Hadi nguo zinapepesuka eti anashangilia kiongozi flani kapita bila kupingwa.Miaka yote wanapita bila kupingwa wamelinufaisha vipi taifa
 
Umesusia, je utasusia na huduma!! Utahitaji maji, unabidi uchukue barua kwa mwenyekiti wa mtaa! Sisi tunataka maendeleo sio blaablaaa!
 
Mwakyembe anahutubia miti Kyela
 
Eti hao mapolisi-CCM wameapa kuwa wataulinda uchaguzi huu kwa kufa na kuona na atakayethubutu kufanya Fujo, wamajiapiza kuwa watamtumbukiza kwenye tanki la magari ya washawasha!

Hivi wasiwasi wote huo nyinyi maccm wa nini, wakati vyama vya upinzani vimesema kuwa hawatashiriki kwenye huo UCHAFUZI wenu
 
Wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa leo wako kwenye bonge la honeymoon nchi nzima.
 
7. Wamefanikiwa adhma yao kwa 99% Kuwa na viongozi katika ngazi ya vijiji na Mitaa!
 
Leo mzee wa gwanda za kijeshi anapigia wapi kura? Mbona hajaonyeshwa au naye kasusa.
 
Akili zenu chadema wote zinafanana.mmewanyima watu uhuru wa kugombea nafasi kwa maamuzi ya watu wachache tunawasubiri na mwakani.
Na hata mwakani msipozingua hampati hata kiti kimoja bungeni
Ni sawa tuu si utafurahi??!!
 
Umesusia, je utasusia na huduma!! Utahitaji maji, unabidi uchukue barua kwa mwenyekiti wa mtaa! Sisi tunataka maendeleo sio blaablaaa!
Kwani aliyepita bila kupingwa hawezi hizo kazi? na kama hawezi mlipendekeza wa nini agombee? au yale makaratasi ya kura ndio yanamfanya awe active.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…