Baada ya wapinzani kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, aibu waliyoipata CCM hawataisahau


Muendelezo wa ccm kuaibika, wasimamizi wengi wa uchaguzi nchi nzima wako honeymoon.
 
Binafsi sijapiga kura, mwenyekiti wangu hana mpinzani yaani ameshapita
 
Chama cha kijani ccm hoi raia hawana mpango kabisa na uchaguzi feki, mwendelezo wa ccm kuaibika angalia picha za waliojitokeza uchaguzi wa leo mpaka aibu.
 
Uchafuzi hadi sasa umekwenda kwa amani kabisa walla hakuna damu yeyote iliyomwagika polish hawana kazi ya kupiga watu hakika hongera awamu ya kishindo kwa jitihada ya kufanikisha ushindi wa kishindo
 
 
Mwendelezo wa raia kususia uchaguzi wakuu wa mikoa na wilaya hawana hamu hawaamini macho yao.
 
kwahiyo kosa ni CCM au upinzani wenyewe kama wameamua kujitoa acha wenzao watambe

Kweli wacha watambe ,Polisi ni wa kwao /Tume ya Ucahguzi ni yao /Wakurugenzi ni wao/Mahakama ni zao pia Nchi ni yao wacha watambe tu sababu ndio Muda wao ila utapita tu ipo Siku .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…