Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

For the sake of the country someone must eat crow!
But due to their arrogance and petulance we will see more of the same.
 
Mbinyo wa kisiasa, kiuchumi na kidiplomasia toka jumuiya za kimataifa kwa Tanzania kuongezeka sasa, hivyo taarifa hizi kuhusu Tanzania ktk maeneo taja kama kubinywa demokrasia n.k zitaendelea kutawala ktk vyombo vya habari duniani kote.
 
Tuendelee tu kutekana, kupingana risasi peupe, kuzuia freedom of speech au kwako ushoga ndilo la muhimu sana kuliko utawala wa sheria.

Yote sio mazuri ila hata hili sio zuri pia na hata yalipofanyika hayo uliyoyasema sikuwa naonga mkono
 
Kama wanachangia 40% ya bajeti na huku bajeti yenyewe ikitekelezwa kwa 40% hiyo hiyo ni nini kinafuata nchi hii ?

Enzi za kubandika viraka kwenye makalio imerudi !
Bashite katufungia bao ukawa, bado moja tunasawazisha.
Punde kidogo tutanza kuvaa nailo na viatu vya araiyoo, majunia kama 1970s and 80s!!!!!!
Shame on all ya'all MOFOs.

Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia - JamiiForums
 
Reactions: UCD
Hawa Vibaraka na wazandiki ni watu hatari sana katika Taifa letu mkuu. Nchi nyingine watu wa aina hii mshahara wao ni mauti.

Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia - JamiiForums
 
unasifa zote za kuchukua cheo cha bashite
Quinine, baada ya WB leo kutoa hiyo fedha uliyodai wamezuia una kauli gani?
 
Huwezi kuendelea in isolation. Na pia CCM wangeweka sera ya exit kutoka kwenye ombaomba mapema tungewaelewa, lakini wao mpaka kwenye budget wanaweka kiasi cha kuomba kwa donors
Once they go, njia itapatikana
 
Quinine, baada ya WB leo kutoa hiyo fedha uliyodai wamezuia una kauli gani?
Wametoa au wameahidi, halafu huwezi kujua walichokubaliana, hata za makinikia waliahidi hivyo hivyo je wameshatoa ngapi?
 
Mkuu unajisikiaje baada ya WB kukuumbua na news fake zako?
 
Mkuu unajisikiaje baada ya WB kukuumbua na news fake zako?
Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…