Mmekosa sera nyinyi sasa mnandandia tu kila taarifa hata kama ni fake news. Naona sasa dawa imeshawaingia tunategemea hadi 2020 mtakuwa mmepona ugonjwa wenu!Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.
Wewe unadhani pesa zinatoka kiholela kuna makubaliano ambayo yamefikiwa ikiwa ni lazima elimu itolewe kwa wote boys and girls bila kubagua kazaa au hajazaa, think bigger.Mmekosa sera nyinyi sasa mnandandia tu kila taarifa hata kama ni fake news. Naona sasa dawa imeshawaingia tunategemea hadi 2020 mtakuwa mmepona ugonjwa wenu!
Kumbe unajua tukinyimwa misaada na wazungu tutapata shida, sasa mlivyokuwa mnasema hamtaki misaada ya mashoga mlikuwa mnabeep.WB wamekuja leo mbona hujaandika walichoongea na Mkulu, shuain zenu nyie mnaosherehekea kuckia nchi hii inapata tabu
Jibu swali nlilokuuliza acha blablaaaKumbe unajua tukinyimwa misaada na wazungu tutapata shida, sasa mlivyokuwa mnasema hamtaki misaada ya mashoga mlikuwa mnabeep.
Watu wanajadili fact we unaleta hekaya. Unadhani wao EU na Marekani hawana Mungu? Je hiyo imani yako imesaidia VP nchi yako kutoka katika kundi la LDC? Au ndo akili mlotunzisha kwa akina Gwajima na Mzee wa upako!!!!Uzuri,Mungu Huwa atazami,definition za Ulimwengu huu....
Sasa ninyi mnapopambana kupanda mabaya,wakati huohuo Mungu uhinua watu kupanda mema.
Hasa pale sababu zinapomgusa moja kwa moja.
Kama wanachangia 40% ya bajeti na huku bajeti yenyewe ikitekelezwa kwa 40% hiyo hiyo ni nini kinafuata nchi hii ?
Enzi za kubandika viraka kwenye makalio imerudi !
Hata wao wamechangia kushawishi wafadhili wasitishe misaada ni kweliNgoja tusubiri kuambiwa ni wapinzani hao ndio waliosababisha!
Ufafanuzi mzuri sana.Mkuu hongera sana kwakuleta hii mada kwenye jamvi ila nafikiri haupo sahihi unaposema kwamba misaada na mikopo toka nchi za nje ni 40% ya bajeti. Bajeti ya 2017/2018 mikopo na misaada toka nje ilikuwa ni Tshs 3,971.10 billion (13%) ya bajeti nzima Tshs 31,712 billion. Ndani ya hii 13% kuna wastani wa 11% kutoka mataifa ya ulaya na 2% kutoka nchi nyingine za bara la Asia.
Pia kuna sehemu umesema kwamba "Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion kwa mwaka", nadhani hii ni asilimia ndogo sana kama 0.01% ya bajeti nzima ambayo haikupaswa kuzungumziwa kwenye mada maana kukosekana kwake hakutaleta mtikisiko wowote mkubwa.
Asanteni sana.
Bajeti 2017/2018 http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/BUDGET SPEECH 2017_2018.pdf
Ni mapema mno kuanza kushangilia, rais anarudia kosa lile lile alilofanya alipokutana na Thornton mkiti wa Barrick.Shame on all ya'all MOFOs.
Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia - JamiiForums
Unajua maana ya snitch au unalitumia tu kuji please.Ukishakuwa snitch mwisho wake aibu au majanga na msiba mkubwa kwa familia yako.
Acha uongo ulikuwepo kwenye kikao au?Wewe unadhani pesa zinatoka kiholela kuna makubaliano ambayo yamefikiwa ikiwa ni lazima elimu itolewe kwa wote boys and girls bila kubagua kazaa au hajazaa, think bigger.
Hata kwenye kikao cha Mkiti wa barrick Thornton na Magufuli sikuwepo, ila rais alipotoka na kusema Acacia wamekubali kutulipa na kwa kuanzia eti watalipa kwanza kishika uchumba cha $300m nilijua hapa tunalishwa matango pori.Acha uongo ulikuwepo kwenye kikao au?
Mkuu asante kwa mchango wako, uchambuzi wa bajeti una utaalamu wake sisi huwa tunachukua summary tu. Mchango wa bajeti huwa siyo lazima uwe cash unaweza kutolewa kwa grants, projects, misaada nk.Mkuu hongera sana kwakuleta hii mada kwenye jamvi ila nafikiri haupo sahihi unaposema kwamba misaada na mikopo toka nchi za nje ni 40% ya bajeti. Bajeti ya 2017/2018 mikopo na misaada toka nje ilikuwa ni Tshs 3,971.10 billion (13%) ya bajeti nzima Tshs 31,712 billion. Ndani ya hii 13% kuna wastani wa 11% kutoka mataifa ya ulaya na 2% kutoka nchi nyingine za bara la Asia.
Pia kuna sehemu umesema kwamba "Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion kwa mwaka", nadhani hii ni asilimia ndogo sana kama 0.01% ya bajeti nzima ambayo haikupaswa kuzungumziwa kwenye mada maana kukosekana kwake hakutaleta mtikisiko wowote mkubwa.
Asanteni sana.
Bajeti 2017/2018 http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/BUDGET SPEECH 2017_2018.pdf
BUDGET STRUCTURE FOR 2017/18
Honourable Speaker, consistent with
2017/18 macroeconomic targets and fiscal
policy objectives, the Government plans to
mobilize and spend shillings 31,712.0 billion.
Domestic revenue, including LGAs own
sources, is estimated at shillings 19,977.0
billion, which is 63 percent of the total
resource envelope.
Kama haki za binadamu ni kukubalisha laana ya ushoga ,nitakuwa wa mwisho ku-LIKEHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Wametoa au wameahidi, halafu huwezi kujua walichokubaliana, hata za makinikia waliahidi hivyo hivyo je wameshatoa ngapi?
Unajua kila senti inayoingia kwenye mfuko wa Hazina? Twambie ziko ngapi sasa hivi.Hujui unachoandika na hawajui wazungu, kesho msije kulialia hamkujifunza kwa pesa ya kishika uchumba cha makinikia.