Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
maji mtaita mma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refuge is a state of safety, protection or shelter while
refugee is a person seeking refuge in a foreign country out of fear of political persecution or the prospect of such persecution in his home country, ie, a person seeking a political asylum.
Wewe ni nani. Hayo maneno Mwalimu alisema baada ya vita vya Kagera (miezi 18 ya kufunga mkanda). Kumbuka kabla ya vita vya Kagera hali ya uchumi ilikuwa ni nzuri tu. Dola moja ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania. Unafikiri nilikuwa mtoto mdogo enzi hizo sio?Ile vita ilitumika kama excuse, sikuwa mjinga na brainwashed kama wengi walivyokuwa...
Msiogope hawawezi kufanya hivyo yaani kujitoa kimya kimya. Watatoa taarifa serikalini kwanini wameamua kusitisha misaada waliyoahidi kuitoa tulipopitisha budget yetu ya makadirio ya mapato na matumizi. Kama kuna jambo hawalifurahii wataiambia serikali katika vikao vyao maalum, na wataishauri serikali nini kifanye ili kujinasua na ukwasi huo. Naamini Serikali yetu watakuwa na majibu sahihi ya kwanini wanafanya wanvyofanya kama kawaida na wataulizana maswali watajibu na kila upande utaenda kutafakari na watakuja na majibu, amam wamekubaliana ama hawawakukubaliana na hatua hizi tunazoziona zitafuata.Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Kuvunjika kwa East African Community pia kulituteteresha sana kiuchumi, shilingi yetu iliyumba sana baada ya kuvunjika huko kwa Jumuia ya Afrika Mashariki. Pamoja na vita kuchangia kutetereka huko, factors(sadly enough zilikuwa kama za kujitakia) zilizosababisha zilikuwa ni zaidi ya hivyo vita. Kuwa brainwashed na wanasisa huwa ni udhaifu mbaya sana.Wewe ni nani. Hayo maneno Mwalimu alisema baada ya vita vya Kagera (miezi 18 ya kufunga mkanda). Kumbuka kabla ya vita vya Kagera hali ya uchumi ilikuwa ni nzuri tu. Dola moja ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania. Unafikiri nilikuwa mtoto mdogo enzi hizo sio?
Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaombaHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Lakini hayo mambo ya kufunga mkanda yalikuja baada ya vita vya Kagera. Kwa nini hutaki kuelewa? Hatukufunga mkanda wowote ule kabla ya vita vya Kagera.Kuvunjika kwa East African Community pia kulituteteresha sana kiuchumi, shilingi yetu iliyumba sana baada ya kuvunjika huko kwa Jumuia ya Afrika Mashariki. Pamoja na vita kuchangia kutetereka huko, factors(sadly enough zilikuwa kama za kujitakia) zilizosababisha zilikuwa ni zaidi ya hivyo vita. Kuwa brainwashed na wanasisa huwa ni udhaifu mbaya sana.
Mbona hueleweki wewe? Unajua watu wa aina yako bila kupigwa vibao akili zenu hazitakuwa sawaUzuri,Mungu Huwa atazami,definition za Ulimwengu huu....
Sasa ninyi mnapopambana kupanda mabaya,wakati huohuo Mungu uhinua watu kupanda mema.
Hasa pale sababu zinapomgusa moja kwa moja.
Pale mambo yalishaparaganyika na hivyo lazima kilitafutwa cha kuwaambia watu ya kuwa mambo yameshakuwa siyo mambo hivyo wajipange/wajiandae kwa hali mbaya ya kimaisha. Kumbuka hakukuwa na unafuu wala uafadhali mpaka mifumo ya kiuchumi ilipobadilika(Mwinyi's phase) na tulipoanza kuwa na uhusiano mzuri WB/IMF kwa kuwa uhusiano mbaya na hayo mashirika ndiyo ilikuwa kiichi cha "msoto" wetu.Lakini hayo mambo ya kufunga mkanda yalikuja baada ya vita vya Kagera. Kwa nini hutaki kuelewa? Hatukufunga mkanda wowote ule kabla ya vita vya Kagera.
Hayo ni mawazo yako tu. Siwezi kukubadilisha. Wewe unaongelea kipindi baada ya vita vya Kagera. Nimekuambia huo msemo wa kufunga mikanda ulikuja baada ya vita vya Kagera na sio kabla lakini bado unabisha tu. Hata sijui unabisha nini.Pale mambo yalishaparaganyika na hivyo lazima kilitafutwa cha kuwaambia watu ya kuwa mambo yameshakuwa siyo mambo hivyo wajipange/wajiandae kwa hali mbaya ya kimaisha. Kumbuka hakukuwa na unafuu wala uafadhali mpaka mifumo ya kiuchumi ilipobadilika(Mwinyi's phase) na tulipoanza kuwa na uhusiano mzuri WB/IMF kwa kuwa uhusiano mbaya na hayo mashirika ndiyo ilikuwa kiichi cha "msoto" wetu.
Naongelea the very same time unayoongelea wewe,tofauti ni kuwa naangali chanzo kwa mtizamo huru. Tunaita 'reading between the lines' na si kwa kumeza maneno ya wanasiasa kama kasuku. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake kwa kadri ya upeo wake wa uelewa unapogota,so I agree to disagree kwa kuwa mitazamo yetu iko tofauti.Hayo ni mawazo yako tu. Siwezi kukubadilisha. Wewe unaongelea kipindi baada ya vita vya Kagera. Nimekuambia huo msemo wa kufunga mikanda ulikuja baada ya vita vya Kagera na sio kabla lakini bado unabisha tu. Hata sijui unabisha nini.
[emoji1787][emoji1787] aisee ccm die fanAm just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Unaweweseka tu. Hayo masharti ya IMF na WB (SAPI na SAPII ya Kighoma Malima) yalikuja baada ya uchumi kutetereka kufuatia vita vya Kagera na sio kabla ya hapo. Usitake kulazimisha.Naongelea the very same time unayoongelea wewe,tofauti ni kuwa naangali chanzo kwa mtizamo huru. Tunaita 'reading between the lines' na si kwa kumeza maneno ya wanasiasa kama kasuku. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake kwa kadri ya upeo wake wa uelewa unapogota,so I agree to disagreed kwa kuwa mitazamo yetu iko tofauti.
Ndiyo ilikuwa factor kubwa ya uchumi kutetereka na ku'dance tune yao ndiyo kuliturudisha(angalau) kwenye mstari, hizo "songi" za vita waambiwe wasio na upeo wa kuchanganua mambo.Unaweweseka tu. Hayo mambo ya IMF na WB (SAPI na SAPII ya Kighoma Malima) yalikuja baada ya uchumi kutetereka kufuatia vita vya Kagera na sio kabla ya hapo. Usitake kulazimisha.
Wewe mwenyewe hapo ulipo huna upeo wa kuchanganua mambo.Ndiyo ilikuwa factor kubwa ya uchumi kutetereka na ku'dance tune yao ndiyo kuliturudisha(angalau) kwenye mstari, hizo "songi" za vita waambiwe wasio na upeo wa kuchanganua mambo.
Narudia tena, hizo blah blah/rubbish labda utawalisha wengine na si mimi.Wewe mwenyewe hapo ulipo huna upeo wa kuchanganua mambo.
Hata hajui huyo mzungu anakaonaje hako ka ZittoView attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Sina haja ya kukulisha chochote.Narudia tena, hizo blah blah/rubbish labda utawalisha wengine na si mimi.