Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Case closed.Sina haja ya kukulisha chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case closed.Sina haja ya kukulisha chochote.
Ulifikiri unaongea na kijana mdogo sio? Umegonga mwamba.Case closed.
Hakuna unachojua,so sad.Ulifikiri unaongea na kijana mdogo sio? Umegonga mwamba.
Ndugu! Huyu Mungu Ni Wetu Sote. Hata Hao Wazungu Wanamwomba Pia. Na Pia Hatuombei Nchi Mabaya.Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.
Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Amakweli nyani halioni kundu lake!.View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Mnapoteka na kuua watu huwa ni siri? Mlipowateka wanaharakati wa kimataifa, dunia haikujua? Mlipompiga Lissu risasi, dunia haikujua? Mlipotangaza kukamata msshoga, dunia haikujua?Mnapitangaza Bungeni maamuzi yenu, dunia haisikiii?Mnapofunga wapinzani jela na kuwanyanyasa, dunia haisikii?View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Bunge la Tulia Ackon liko bize kuandaa azimio la kumsifu na kumpongeza Jiwe kuhusu Koro show, ukichallenge chochote unatolewa nje.Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.

HhhhhhhhHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.
Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Umejipangaje kuto kupokea misaada??Hhhhhhhh
Waizi wamekuwa Wadau wa Kubwa wa Maendeleo kwa Tz
Tz tupo ndani ya usiku wa milele
Zimwi la misaada,litatumaliza kbs
Wanaponiudhi mimi hawa watu ni kuona "HAKI ZA BINAADAM" wanapofanyiwa Mashoga tu! Mbona hatuwasikii wakisema chochote wakati haki na utawala bora kwa raia wengine wanaponyimwa haki hizo?Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora,
View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Haihitaji 'miaka miwili' Wakitukazia uzi, mwakani wakati kama huu tutakuwa taaban. Tuvifua tunavyovipiga sasa hivi kwa majigambo tutakuwa tumejaa (blisters) malengelenga, hata pa kupiga patakuwa hakupo tena.Mnachafua nchi kwa ulimbukeni wa madaraka kisha mjifanye mnaiombea? Kwa mwenendo huu miaka miwili ijayo athari za hizi hatua zitakuwa peupe.
na wewe imekuuma misaada kusitishwa? manake magonjwa mtambuka ana pretend kama hataki hiyo misaada kwa kisingizio cha kutatuliwa marinda.View attachment 934597