Isombilege
Member
- Jul 22, 2018
- 92
- 54
Hujui kama mambo ya kuendesha nchi ni magumu sana weweYaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kama mambo ya kuendesha nchi ni magumu sana weweYaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
mbona kama vile unafurahia tz kunyimwa misaadaHawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.
Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.
Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.
Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.
Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Acha uchuro. Joice yu hai na afya nzuriAm just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Kama wanachangia 40% ya bajeti na huku bajeti yenyewe ikitekelezwa kwa 40% hiyo hiyo ni nini kinafuata nchi hii ?
Enzi za kubandika viraka kwenye makalio imerudi !
Mwacheni achape kazi Mh.Mbunge haya yote ni matokeo ya Serikali yenyewe. Miaka yote hiyo waje kuamua leo kutunyima misaada kwa kauli ya Zitto kwani wenyewe hawaoni madudu yanayotendeka acha kuvaa miwani ya mbao.View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Mkuu mmepishana tu' Jamaa anasema kufunga mkanda ilikuwa baada ya vita, Ila si vita tu vilivyosababisha tufunge mkanda, ila mahusiano yetu mabaya na nchi washirika ndio yalisababisha tukafunga mkanda kwa mda mrefu. Sijui kama yupo sawa au la Ila ndicho alichomaanisha nadhani.Unaweweseka tu. Hayo masharti ya IMF na WB (SAPI na SAPII ya Kighoma Malima) yalikuja baada ya uchumi kutetereka kufuatia vita vya Kagera na sio kabla ya hapo. Usitake kulazimisha.
=I agree to disagree; sio to disagreed.
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Acha kujitoa ufaham mapema, unataka kusema zito ndo anaawapelekea habari za watu kutekwa na wasiojulikana? Tena wb wamechelewa hizo plan walikuwa nazo tangu utawala huu ulipoanza hata kabla kwa kile kilichoitwa ni democracy depression.View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Hakuna anayeombea mabaya msiharibu makusudi mtegemee Mungu atasaidia.Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.
Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.