Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Naona hapa unamzungumzia magufuli mwenye sifa hizo
 
Naona hapa unamzungumzia magufuli mwenye sifa hizo
Kama hamumpendi Magufuli msubiri kumwondoa kwa kura lakini kila juhudi, kwa pamoja, tuijenga nchi hii. Kuombea mabaya Serikali ya inayongozwa na Magufuli ni kujiombea mabaya.

UPUMBAVU NA ULOFA wa mawazo unatusumbua sana, kiasi cha kutokujiamini.
 
Huwezi kuombea mazuri kwa serikali isiyojali maslahi mapana ya nchi
 
Uzalendo sio kudanganya uonekane unaipenda nchi uzalendo ni kusema ukweli na kumwambia kiongozi hapa umekosea.

Aliyekuwa msemaji wa Saddam wakati wa vita vya Iraki, Saeed Al Sahaff alikuwa anamdanganya Rais wake na wananchi kuwa wameyateka majeshi ya Marekani na kuyazingira alikuwa anonekana mzalendo kama wewe matokeo unayajua.

Kumbuka baada ya rais kuzungumza na mkiti wa Barrick alitoka nje na kutuambia Acacia wamekubali kutulipa mkashangilia ili muonekane wazalendo lkn baada ya siku chache Acacia wakakanusha.

Leo tena imejirudia the same rais anasema WB wamekubali kutoa bila kujiuliza je tumeyakubali masharti mnashangilia, tunaojiuliza mnatuona sio wazalendo.
 
Nani kakwambia nataka kuongoza nchi, naona kama unapanic, kama umeishiwa hoja kaa kimya.
 
Nani kakwambia nataka kuongoza nchi, naona kama unapanic, kama umeishiwa hoja kaa kimya.
Sina hoja zaidi ya kuwakumbusha uzalendo nyie vibaraka msioitakia nchi yenu mema kwa kila mara kuleta mada zinazotoa picha mbaya tu kuhusu nchi au Serikali yake, na nyingi zake zikiwa uongo na uzushi.

Hao mnaowashabikia, narudia tena, kamwe hawatapewa ridhaa ya kuongoza nchi hii. Wameshindwa kuwaweka pamoja viongozi wenzao itakuwa jamii kubwa ya Watanzania! Wameshindwa kujenga ofisi za chama, wataweza kuondoa kero za wananchi (huduma za jamii na vichocheo vya kukuza uchumi)?
 
Unajua maana ya snitch au unalitumia tu kuji please.
Mambo wanayofanya akina Zitto na Lissu kupeleka taarifa kwa World Bank na mataifa ya Euro au ule mchezo waliofanya kwenye sakata la kuzuiliwa bombardier ni u-snitch tu.
 
Mambo wanayofanya akina Zitto na Lissu kupeleka taarifa kwa World Bank na mataifa ya Euro au ule mchezo waliofanya kwenye sakata la kuzuiliwa bombardier ni u-snitch tu.
Kila upande una definition yake ya snitch.
 
******** must go, haiwezekani atuletee hili balaa kwa kumkumbatia bashite.

Aombe sana hali igeuke kuwa nzuri la sivyo muda utamfundisha kwa uchungu.
 
Kama haki za binaadamu zenyewe ni kukubali ushoga hatuwezi hilo waende tu.
Punguza UPOPOMA....hangaisha ubongo wako uujue ukweli ukikaa kusubiri taarifa kutoka kwa Humphrey utabaki kuwa kituko
 
Kama hizi habari ni za kweli,it's gonna be horrible. Nakumbuka enzi za mchonga tuliambiwa kila mtu afunge mkanda, naanza kuvuta picha ya empty shelves kwenye maduka yetu(I mean kama hizi habari ni za kweli), naomba Mungu zisiwe za kweli.
tuombe hali ya hewa iwe nzuri vyakula viwepo. ukitokea ukame kila mtu ataomba poo awe mtawala, awe raia
 
******** must go, haiwezekani atuletee hili balaa kwa kumkumbatia bashite.

Aombe sana hali igeuke kuwa nzuri la sivyo muda utamfundisha kwa uchungu.
kwa hiyo ulitaka amfukuze bashite kwa sasabu amekemea ushoga...au na wewe ni shoga
 
Wajinga hawatakuunga mkono ,ulichosema sahihi ushoga kwao, kwani hatuwezi kulazimishwa utamaduni ambao hautufai wasubili tukienda kwao.
 
Kwa kuwa na wewe ni mmojawapo lazima ukasirike,tunyimeni tu hiyo misaada nyie mashoga aisee
Wajinga hawatakuunga mkono ,ulichosema sahihi ushoga kwao, kwani hatuwezi kulazimishwa utamaduni ambao hautufai wasubili tukienda kwao.
Hivi kwanini mnajifanya kuwa na uchungu na 'matako' ya watu kwani huwa wanawashirikisha wakiwa chumbani.
 
This country is supposed to be a donor country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…