Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Refuge is a state of safety, protection or shelter while
refugee is a person seeking refuge in a foreign country out of fear of political persecution or the prospect of such persecution in his home country, ie, a person seeking a political asylum.

Uzuri,Mungu Huwa atazami,definition za Ulimwengu huu....
Sasa ninyi mnapopambana kupanda mabaya,wakati huohuo Mungu uhinua watu kupanda mema.
Hasa pale sababu zinapomgusa moja kwa moja.
 
Ile vita ilitumika kama excuse, sikuwa mjinga na brainwashed kama wengi walivyokuwa...
Wewe ni nani. Hayo maneno Mwalimu alisema baada ya vita vya Kagera (miezi 18 ya kufunga mkanda). Kumbuka kabla ya vita vya Kagera hali ya uchumi ilikuwa ni nzuri tu. Dola moja ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania. Unafikiri nilikuwa mtoto mdogo enzi hizo sio?
 
Msiogope hawawezi kufanya hivyo yaani kujitoa kimya kimya. Watatoa taarifa serikalini kwanini wameamua kusitisha misaada waliyoahidi kuitoa tulipopitisha budget yetu ya makadirio ya mapato na matumizi. Kama kuna jambo hawalifurahii wataiambia serikali katika vikao vyao maalum, na wataishauri serikali nini kifanye ili kujinasua na ukwasi huo. Naamini Serikali yetu watakuwa na majibu sahihi ya kwanini wanafanya wanvyofanya kama kawaida na wataulizana maswali watajibu na kila upande utaenda kutafakari na watakuja na majibu, amam wamekubaliana ama hawawakukubaliana na hatua hizi tunazoziona zitafuata.
 
Kuvunjika kwa East African Community pia kulituteteresha sana kiuchumi, shilingi yetu iliyumba sana baada ya kuvunjika huko kwa Jumuia ya Afrika Mashariki. Pamoja na vita kuchangia kutetereka huko, factors(sadly enough zilikuwa kama za kujitakia) zilizosababisha zilikuwa ni zaidi ya hivyo vita. Kuwa brainwashed na wanasisa huwa ni udhaifu mbaya sana.
 
Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaomba
 
Lakini hayo mambo ya kufunga mkanda yalikuja baada ya vita vya Kagera. Kwa nini hutaki kuelewa? Hatukufunga mkanda wowote ule kabla ya vita vya Kagera.
 
Uzuri,Mungu Huwa atazami,definition za Ulimwengu huu....
Sasa ninyi mnapopambana kupanda mabaya,wakati huohuo Mungu uhinua watu kupanda mema.
Hasa pale sababu zinapomgusa moja kwa moja.
Mbona hueleweki wewe? Unajua watu wa aina yako bila kupigwa vibao akili zenu hazitakuwa sawa
 
Lakini hayo mambo ya kufunga mkanda yalikuja baada ya vita vya Kagera. Kwa nini hutaki kuelewa? Hatukufunga mkanda wowote ule kabla ya vita vya Kagera.
Pale mambo yalishaparaganyika na hivyo lazima kilitafutwa cha kuwaambia watu ya kuwa mambo yameshakuwa siyo mambo hivyo wajipange/wajiandae kwa hali mbaya ya kimaisha. Kumbuka hakukuwa na unafuu wala uafadhali mpaka mifumo ya kiuchumi ilipobadilika(Mwinyi's phase) na tulipoanza kuwa na uhusiano mzuri WB/IMF kwa kuwa uhusiano mbaya na hayo mashirika ndiyo ilikuwa kiichi cha "msoto" wetu.
 
Hayo ni mawazo yako tu. Siwezi kukubadilisha. Wewe unaongelea kipindi baada ya vita vya Kagera. Nimekuambia huo msemo wa kufunga mikanda ulikuja baada ya vita vya Kagera na sio kabla lakini bado unabisha tu. Hata sijui unabisha nini.
 
Hayo ni mawazo yako tu. Siwezi kukubadilisha. Wewe unaongelea kipindi baada ya vita vya Kagera. Nimekuambia huo msemo wa kufunga mikanda ulikuja baada ya vita vya Kagera na sio kabla lakini bado unabisha tu. Hata sijui unabisha nini.
Naongelea the very same time unayoongelea wewe,tofauti ni kuwa naangali chanzo kwa mtizamo huru. Tunaita 'reading between the lines' na si kwa kumeza maneno ya wanasiasa kama kasuku. Ni kweli kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake kwa kadri ya upeo wake wa uelewa unapogota,so I agree to disagree kwa kuwa mitazamo yetu iko tofauti.
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
[emoji1787][emoji1787] aisee ccm die fan
 
Unaweweseka tu. Hayo masharti ya IMF na WB (SAPI na SAPII ya Kighoma Malima) yalikuja baada ya uchumi kutetereka kufuatia vita vya Kagera na sio kabla ya hapo. Usitake kulazimisha.

=I agree to disagree; sio to disagreed.
 
Unaweweseka tu. Hayo mambo ya IMF na WB (SAPI na SAPII ya Kighoma Malima) yalikuja baada ya uchumi kutetereka kufuatia vita vya Kagera na sio kabla ya hapo. Usitake kulazimisha.
Ndiyo ilikuwa factor kubwa ya uchumi kutetereka na ku'dance tune yao ndiyo kuliturudisha(angalau) kwenye mstari, hizo "songi" za vita waambiwe wasio na upeo wa kuchanganua mambo.
 
Ndiyo ilikuwa factor kubwa ya uchumi kutetereka na ku'dance tune yao ndiyo kuliturudisha(angalau) kwenye mstari, hizo "songi" za vita waambiwe wasio na upeo wa kuchanganua mambo.
Wewe mwenyewe hapo ulipo huna upeo wa kuchanganua mambo.
 
Hata hajui huyo mzungu anakaonaje hako ka Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…