Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.

Strange logic this! Yaani tufanye uharibifu kwa makusudi tukitegemea ulinzi wa Mungu? Haya; endelea kumlilia. In fact nakushauri acha kabisa na kujishughulisha na chochote huyo unaemlilia atakuletea mahitaji yako ukiwa umestarehe tu.
 
Halafu kuna watu wamegonga like kwenye hii habari!
 
Kumbe na kiburi chote hiki bado tunahitaji misaada?
 
Binafsi haki za Mashoga sijui wasagaji sizifagilii, ila kuna haki nyingi sana zinaminywa Kwa sasa, ambazo hao jamaa wa nje wamezitaja pia.
 
Binafsi haki za Mashoga sijui wasagaji sizifagilii, ila kuna haki nyingi sana zinaminywa Kwa sasa, ambazo hao jamaa wa nje wamezitaja pia.
Lakini zimekuja baadz ya mashoga kuguswa. Ingekuwa hizo tu za msingi wala wasingeongea
 
Time will tell... Hali ikizidi kuwa mbaya labda Watz tutaamka kutoka usingizini
Na wazungu wanasema: "sometimes it has worse before it becomes better"! Natumaini tu kuwa watanzania hatutaruhusu kufikishwa kwenye viwango vya Zimbabwe!
 
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Kwahiyo wewe unaona Mpango anavyotembeza bakuli kupata 40% ya budget yetu ni mjinga. Serikali ndo inayolialia baada ya kufanya maamuzi ya kizembe na kutoa matamko ya yenye kuashiria uvunjwaji wa haki za binadamu; sasa tumeanza kufinywa, halafu tutakula viboko vingi mpaka akili irudi.
 
Tayari WB na Denmark wameshasitisha misaada yao kwa kutumia matamko ya Makonda tu wala hawakusubiri mrejesho wa serikali.
 
Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaomba
Mwambie Dr. Mpango aache kwenda kuombaomba kwa mashoga.
 
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Acha ujinga,soma vrz na uelewe alichkiandka mwenzio...wapi amesema anataka kutatuliwa marinda,wewe na wajinga wenzio ndyo mmezoea kutatuliwa marinda halafu mnawasingizia watu wengine

Kwa taarifa;nchi wahisani huwa zinachangia 60% ktk bajeti yetu kwa kila mwaka na sisi kwenye bajeti huwa tunachangia 40% kutokana na makusanyo ya kodi mbalimbali!
 
Dr. Slaa atakuwa hana kazi za kufanya. Arudi nyumbani tuje tule mihogo wote huku.
 
Break muhimu, kabweteka sana huyu mshamba.
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
When you Fail to solve your problems you tend to subject them to fate/God...this is a sign of failure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…