Rudi shule acha kujitia aibu.Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!
Kwahiyo na wewe hapo ndo unaweza kujitia umeenda shule?! Ikiwa baada ya kwenda shule uwezo wako wa ku-argue ndo umeishia hapo basi hakuna tena maana ya kwenda shule!Rudi shule acha kujitia aibu.
Hata siku moja usingie kwenye vita ya maneno na diamond lazima utashindwa.... KhaaaaaaYaani Ommy bora asingejibu..watu wameachana na habari za kununua views sasa wanadeal na us.h.g wa Ommy[emoji38][emoji38]
Mkuu we unasema kitu kwa uzoefu wako mimi nasema kitu ambacho nimefanya mwaka jana na nimeshindwa kununua nyumba kwa jina langu..Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!
Ndio nasikia leo kuna nchi haikubali wageni kufungua account bank.ugumu uliopo hapa kwa mgeni kununua nyumba.
kama hawataki hata ufungue bank account ndio watakubali ununue nyumba?
Hilo la kutokuwa na pesa unasema wewe lakini hoja yako ni kwamba, FOREIGNERS HAWARUHUSIWI kununua/kumiliki nyumba... si kweli! Wewe kutoweza kununua nyumba haimaanishi foreigners hawaruhusiwi kununua nyumba! Kunaweza kukawa na sababu ya kwanini ulishindwa lakini si kwa sababu ni mgeni!Mkuu we unasema kitu kwa uzoefu wako mimi nasema kitu ambacho nimefanya mwaka jana na nimeshindwa kununua nyumba kwa jina langu..
Hii nyumba ninayokaa Nalipia kwa jina la mtoto wangu na sio kwa jina langu.
Nilijaribu kwa jina langu na hayo ndio majibu niliyopewa.na sio kwangu tu wabongo wengi na wapopo wenye uwezo wapo hapa na hawanunui nyumba.
Ni kama ilivyo hapo Zanzibar ilivyo ngumu mtu wa bara au kutoka nje ya Zanzibar kununua hardhi au nyumba ndio ugumu uliopo hapa kwa mgeni kununua nyumba.
kama hawataki hata ufungue bank account ndio watakubali ununue nyumba?
Najaribu kusema kitu ambacho napitia mwenyewe na sio kwa kuambiwa na mtu ila kama utaamua kubisha sitokubishia.
Nasisitiza sisemi kuwa Naseeb hawezi nunua Nyumba hapa kisa hana hela au kipato chake kidogo NO ninachojaribu kusema kwa sheria za hapa mtu mwenye kutumia Passport tena yenye Visiting Visa unawezaje kununua nyumba ikiwa mwenye work permit Au Aslyam paper hawezi kununua?
Halafu hicho kiroja sikukiona!!Ndio nasikia leo kuna nchi haikubali wageni kufungua account bank.
Sikia na ujifunze mkuu...South Africa huwezi Kufungua bank account labda uwe na Work Permit na wabongo wengi na wageni wengi waliokuwa hapa wana Aslyam Seeker na Wengine wanatumia Passport tu ambayo tunaingia hapa kwa free Visa kama Visiting Visa.Ndio nasikia leo kuna nchi haikubali wageni kufungua account bank.
Mkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?Hilo la kutokuwa na pesa unasema wewe lakini hoja yako ni kwamba, FOREIGNERS HAWARUHUSIWI kununua/kumiliki nyumba... si kweli! Wewe kutoweza kununua nyumba haimaanishi foreigners hawaruhusiwi kununua nyumba! Kunaweza kukawa na sababu ya kwanini ulishindwa lakini si kwa sababu ni mgeni!
Sasa hilo lipo wazi... we huna work permit na wala sio kwamba ni mwanafunzi sasa unafanya nini nchi ya watu?! Lakini kama upo well established hata kama kibiashara utaruhusiwa tu! Hata hapa Tanzania, unless sheria ziwe zimebadilika leo (na sidhani), kwa foreigner ukienda kufungua account lazima utaulizwa work permit na kama ni mfanyabiashara, utatakiwa kuwasilisha commercial related docs... kwahiyo ni kawaida hiyo!Sikia na ujifunze mkuu...South Africa huwezi Kufungua bank account labda uwe na Work Permit na wabongo wengi na wageni wengi waliokuwa hapa wana Aslyam Seeker na Wengine wanatumia Passport tu ambayo tunaingia hapa kwa free Visa kama Visiting Visa.
Ni swala la kujifunza tu mkuu...Nipo hapa na najaribu kukwambia kitu ambacho nakutana nacho kama una jamaa yako huku unaweza muuliza.
Asante.
We bhana acha uongo wako bhana.... nimeshakuambia hizo kazi nishafanya! Sasa kukata mzizi wa fitina wacha nikutafutie official docsMkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?
Maana inawezekana nikawa najaribu kumuelewasha mtu ambae kishaamua kutokuelewa tu kwa maslahi yake binafsi.
Nakwambia tena HUWEZI KUMILIKI NYUMBA SOUTH Africa ukiwa sio RAIA wa south afrika.
Mkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?
Maana inawezekana nikawa najaribu kumuelewasha mtu ambae kishaamua kutokuelewa tu kwa maslahi yake binafsi.
Nakwambia tena HUWEZI KUMILIKI NYUMBA SOUTH Africa ukiwa sio RAIA wa south afrika.
Akiweka ushahidi hapa kama huu , naomba niite
Naanza na Property24 ambao kama sikosei ndiko Diamond alinunua nyumba! Hawa hapa....
View attachment 438447
Smith Tabata Buchanan Boyes (Ni Mawakili ambao wamejikita sana kwenye real estate) nao hawa hapa:
View attachment 438452
Ooba Group ambao wana-finance acquisition of property nao hawa hapa:
View attachment 438458
Library of Congress nao hawa hapa:
View attachment 438453
Aidha, nilishakuambia hizi kazi mimi nishatumwa tumwa sana na hadi kesho naendelea kutumwa! Sikutaka kufika kote huku lakini hamna namna, hizi ni kazi zangu za mwisho kufanya kiasi cha wiki 3 tu zilizopita:
View attachment 438454
Hapo nilikuwa nawasiliana na aliyenituma kazi ya mwisho! Kama unafahamu mambo ya real estate, basi bila shaka utakuwa unafahamu what is Airbnb!!! Huyo Nassoro ndo chige...!!! Unaona hizo attachments, ilikuwa ni listing hiyo!
Haya sasa, badala ya kuongea kwa maneno tu; na wewe weka hata ushahidi kutoka kwenye blog!
Nitakuita mkuu wangu manake nami ndo namsubiria......Akiweka ushahidi hapa kama huu , naomba niite
Nakwambia kijana ana mdomo yulee[emoji38][emoji38][emoji38]sina hamu..Hata siku moja usingie kwenye vita ya maneno na diamond lazima utashindwa.... Khaaaaaa
Unajua nilimsikia Diamond na suala la Ommy Dimpoz kutaka wakutane... nikajua Chibu anatupiga fix!! Huku na kule mara eheee, Dimpoz huyu hapa anajikamatisha mwenyewe....Nakwambia kijana ana mdomo yulee[emoji38][emoji38][emoji38]sina hamu..
Bdozen anamuambia Diamond kwamba Ommydimpozi amekataa swala la kupiga simu na kuomba msamaha kwa diamond,ila alitaka waongee ishu nyingine tu!!
Diamond akamjibu kwamba hata mtoto mdogo anapotaka maji ya kunywa anasema "Mama naomba mma"hasemi mama naomba maji[emoji38][emoji38]