Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!
Rudi shule acha kujitia aibu.
 
"atakuwa sallam nini, ni mendez yuele" hili dongo kwa kibamia live live
 
Yaani Ommy bora asingejibu..watu wameachana na habari za kununua views sasa wanadeal na us.h.g wa Ommy[emoji38][emoji38]
Hata siku moja usingie kwenye vita ya maneno na diamond lazima utashindwa.... Khaaaaaa
 
Kuwa Cape Town haimaanishi kwamba unajua sheria za property za South Africa! Narudia; maelezo yako si kweli! Hata Foreigners wanaruhusiwa...! Kitu ambacho ni kigumu au hakiwezekani ni kwa foreigner kununua/kumiliki shamba lakini sio nyumba... SIO KWELI! Wakati wewe unaishi Cape Town jambo amabalo halitoshelezi kukufanya ufahamu sheria za property ownership, mimi naishi kwa kutumwa tumwa na watu wanaofanya hizo biashara na ninatumwa kama Online Real Estate Broker au Online Real Estate Lister. Kwahiyo naongea kitu ninachokijua!!!
Mkuu we unasema kitu kwa uzoefu wako mimi nasema kitu ambacho nimefanya mwaka jana na nimeshindwa kununua nyumba kwa jina langu..

Hii nyumba ninayokaa Nalipia kwa jina la mtoto wangu na sio kwa jina langu.

Nilijaribu kwa jina langu na hayo ndio majibu niliyopewa.na sio kwangu tu wabongo wengi na wapopo wenye uwezo wapo hapa na hawanunui nyumba.

Ni kama ilivyo hapo Zanzibar ilivyo ngumu mtu wa bara au kutoka nje ya Zanzibar kununua hardhi au nyumba ndio ugumu uliopo hapa kwa mgeni kununua nyumba.

kama hawataki hata ufungue bank account ndio watakubali ununue nyumba?

Najaribu kusema kitu ambacho napitia mwenyewe na sio kwa kuambiwa na mtu ila kama utaamua kubisha sitokubishia.

Nasisitiza sisemi kuwa Naseeb hawezi nunua Nyumba hapa kisa hana hela au kipato chake kidogo NO ninachojaribu kusema kwa sheria za hapa mtu mwenye kutumia Passport tena yenye Visiting Visa unawezaje kununua nyumba ikiwa mwenye work permit Au Aslyam paper hawezi kununua?
 
Hilo la kutokuwa na pesa unasema wewe lakini hoja yako ni kwamba, FOREIGNERS HAWARUHUSIWI kununua/kumiliki nyumba... si kweli! Wewe kutoweza kununua nyumba haimaanishi foreigners hawaruhusiwi kununua nyumba! Kunaweza kukawa na sababu ya kwanini ulishindwa lakini si kwa sababu ni mgeni!
 
Ndio nasikia leo kuna nchi haikubali wageni kufungua account bank.
Sikia na ujifunze mkuu...South Africa huwezi Kufungua bank account labda uwe na Work Permit na wabongo wengi na wageni wengi waliokuwa hapa wana Aslyam Seeker na Wengine wanatumia Passport tu ambayo tunaingia hapa kwa free Visa kama Visiting Visa.

Ni swala la kujifunza tu mkuu...Nipo hapa na najaribu kukwambia kitu ambacho nakutana nacho kama una jamaa yako huku unaweza muuliza.

Asante.
 
Aulizwe Wema.... Hasira ya domo ni kumfanya wema girlfriend ommy anapiga kisela...
 
Hilo la kutokuwa na pesa unasema wewe lakini hoja yako ni kwamba, FOREIGNERS HAWARUHUSIWI kununua/kumiliki nyumba... si kweli! Wewe kutoweza kununua nyumba haimaanishi foreigners hawaruhusiwi kununua nyumba! Kunaweza kukawa na sababu ya kwanini ulishindwa lakini si kwa sababu ni mgeni!
Mkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?

Maana inawezekana nikawa najaribu kumuelewasha mtu ambae kishaamua kutokuelewa tu kwa maslahi yake binafsi.

Nakwambia tena HUWEZI KUMILIKI NYUMBA SOUTH Africa ukiwa sio RAIA wa south afrika.
 
Sikia na ujifunze mkuu...South Africa huwezi Kufungua bank account labda uwe na Work Permit na wabongo wengi na wageni wengi waliokuwa hapa wana Aslyam Seeker na Wengine wanatumia Passport tu ambayo tunaingia hapa kwa free Visa kama Visiting Visa.

Ni swala la kujifunza tu mkuu...Nipo hapa na najaribu kukwambia kitu ambacho nakutana nacho kama una jamaa yako huku unaweza muuliza.

Asante.
Sasa hilo lipo wazi... we huna work permit na wala sio kwamba ni mwanafunzi sasa unafanya nini nchi ya watu?! Lakini kama upo well established hata kama kibiashara utaruhusiwa tu! Hata hapa Tanzania, unless sheria ziwe zimebadilika leo (na sidhani), kwa foreigner ukienda kufungua account lazima utaulizwa work permit na kama ni mfanyabiashara, utatakiwa kuwasilisha commercial related docs... kwahiyo ni kawaida hiyo!
 
Mkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?

Maana inawezekana nikawa najaribu kumuelewasha mtu ambae kishaamua kutokuelewa tu kwa maslahi yake binafsi.

Nakwambia tena HUWEZI KUMILIKI NYUMBA SOUTH Africa ukiwa sio RAIA wa south afrika.
We bhana acha uongo wako bhana.... nimeshakuambia hizo kazi nishafanya! Sasa kukata mzizi wa fitina wacha nikutafutie official docs
 
Mkuu unabisha kwa sababu uliwahi kuwa huku na ukaweza kununua nyumba au unabisha kwa sababu umeamua tu kubisha kwa uzoefu wako?

Maana inawezekana nikawa najaribu kumuelewasha mtu ambae kishaamua kutokuelewa tu kwa maslahi yake binafsi.

Nakwambia tena HUWEZI KUMILIKI NYUMBA SOUTH Africa ukiwa sio RAIA wa south afrika.

Naanza na Property24 ambao kama sikosei ndiko Diamond alinunua nyumba! Hawa hapa....

Property24.png

Smith Tabata Buchanan Boyes (Ni Mawakili ambao wamejikita sana kwenye real estate) nao hawa hapa:
STBB.png

Ooba Group ambao wana-finance acquisition of property nao hawa hapa:

Estate5.png

Library of Congress nao hawa hapa:
Estate2.png

Aidha, nilishakuambia hizi kazi mimi nishatumwa tumwa sana na hadi kesho naendelea kutumwa! Sikutaka kufika kote huku lakini hamna namna, hizi ni kazi zangu za mwisho kufanya kiasi cha wiki 3 tu zilizopita:

Estate.png

Hapo nilikuwa nawasiliana na aliyenituma kazi ya mwisho! Kama unafahamu mambo ya real estate, basi bila shaka utakuwa unafahamu what is Airbnb!!! Huyo Nassoro ndo chige...!!! Unaona hizo attachments, ilikuwa ni listing hiyo!

Haya sasa, badala ya kuongea kwa maneno tu; na wewe weka hata ushahidi kutoka kwenye blog!
 
Naanza na Property24 ambao kama sikosei ndiko Diamond alinunua nyumba! Hawa hapa....

View attachment 438447

Smith Tabata Buchanan Boyes (Ni Mawakili ambao wamejikita sana kwenye real estate) nao hawa hapa:
View attachment 438452

Ooba Group ambao wana-finance acquisition of property nao hawa hapa:

View attachment 438458

Library of Congress nao hawa hapa:
View attachment 438453

Aidha, nilishakuambia hizi kazi mimi nishatumwa tumwa sana na hadi kesho naendelea kutumwa! Sikutaka kufika kote huku lakini hamna namna, hizi ni kazi zangu za mwisho kufanya kiasi cha wiki 3 tu zilizopita:

View attachment 438454

Hapo nilikuwa nawasiliana na aliyenituma kazi ya mwisho! Kama unafahamu mambo ya real estate, basi bila shaka utakuwa unafahamu what is Airbnb!!! Huyo Nassoro ndo chige...!!! Unaona hizo attachments, ilikuwa ni listing hiyo!

Haya sasa, badala ya kuongea kwa maneno tu; na wewe weka hata ushahidi kutoka kwenye blog!
Akiweka ushahidi hapa kama huu , naomba niite
 
Hata siku moja usingie kwenye vita ya maneno na diamond lazima utashindwa.... Khaaaaaa
Nakwambia kijana ana mdomo yulee[emoji38][emoji38][emoji38]sina hamu..
Bdozen anamuambia Diamond kwamba Ommydimpozi amekataa swala la kupiga simu na kuomba msamaha kwa diamond,ila alitaka waongee ishu nyingine tu!!

Diamond akamjibu kwamba hata mtoto mdogo anapotaka maji ya kunywa anasema "Mama naomba mma"hasemi mama naomba maji[emoji38][emoji38]
 
Nakwambia kijana ana mdomo yulee[emoji38][emoji38][emoji38]sina hamu..
Bdozen anamuambia Diamond kwamba Ommydimpozi amekataa swala la kupiga simu na kuomba msamaha kwa diamond,ila alitaka waongee ishu nyingine tu!!

Diamond akamjibu kwamba hata mtoto mdogo anapotaka maji ya kunywa anasema "Mama naomba mma"hasemi mama naomba maji
[emoji38][emoji38]
Unajua nilimsikia Diamond na suala la Ommy Dimpoz kutaka wakutane... nikajua Chibu anatupiga fix!! Huku na kule mara eheee, Dimpoz huyu hapa anajikamatisha mwenyewe....
 
Back
Top Bottom