Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Kama anachanwa marinda watu wasiseme?
 
Hii mipasho ya PWANI waachieni kina Dada. Wanaume inawahusu nn?
 
Kuna sehemu yoyote kwenye maandishi yao wametajana?
 
Kuna njia ya kuoneshaa diamond mangapi anakaa kimyaaaa mengine yamezidi bhnaaa hata rais huwa anajibu
 
Endelea kusubiri mwendokasi chato
 
Ommy punga kitambo na anapumuliwa Ni mke wa mtu na hadi Nyumba kapangishiwa kabisa Ona anavobinua midomo na matako utaelewa sasa.
Hilo liko wazi kua jamaa mchicha mwiba watu walikua wanasema kitambo hata ney wa mitego alisema
 
U got a point,ngoma ikiwambwa sana mwisho wake hupasuka tu,kwa level ya Diamond kuwa na msururu wa wafanyakazi vile ni ulimbukeni tu hajafikia hizo level
 
Dua LA kuku hili unashindwa kumuombea yeye afanikiwe zaidi baadhi ya watanzagiza kama sie tupate ajira unabaki kuombea ashindwe wabongo bwana na kwa taarifa yako huyo harudi nyuma alianza na kina iyobo wamefanikiwa watakuja wengine na watafanikiwa kupitia yeye huyu sio msanii mbinafsi kama kamtu fulani
 
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua viewers
Twende na facts
Diamond ana followers milioni 3 instagram ,
Youtube ana subscibers 422,320
Facebook ana followers milioni 1.5
Twitter ana followers 350,000
Mfono kwenye instagram akisema kuna nyimbo mpya imetoka nenda youtube , tuseme watu robo wameenda kutazama youtube maana yake ndani ya siku moja watu zaidi ya laki 500,000 wanaweza kutazama.
Akiweka nyimbo youtube wale subscibers 420,000 wanapata notifications maaana yake hao wote wanadondokea kwenye viewers.
Facebook na twitter nako hivo hivo
Ni akili ndogo tu ndo inaweza amini diamond ananunua views
 
Hili LA viewers limeongelewa sana nna uhakika na wewe umepita tayari kule YouTube kuangalia kokoro sasa si tayari ushaongeza idadi yao
 
Ommy hit the right target,tht's all i can see....Ndio maana Domo povu........
Ha ha ha
 
Dimpoz kagonga ikulu domo lzm amwage povu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…