Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu yoyote kwenye maandishi yao wametajana?Wamezoea kutafuta kiki kupitia Diamond, bora amejibu kwa kweli. Ila kwa jibu alilotoa, lazima mtu anakosa usingizi leo. Diamond anajua mengi yanayoendelea akisema na wengine sisi tunaamini 150%.
Iwe fundisho kwa wengine kuacha kutumia jina lake ili wapate viewers na kutafuta kuuza, omi unalo kumbe teh teh teeeeeeeh
Kuna njia ya kuoneshaa diamond mangapi anakaa kimyaaaa mengine yamezidi bhnaaa hata rais huwa anajibuAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Endelea kusubiri mwendokasi chatosina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,
Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Kwel Mkuu ile ni fursaOmmy ameiona fursa mwacheni aitumie kajiandae ifike mbali.
Hilo liko wazi kua jamaa mchicha mwiba watu walikua wanasema kitambo hata ney wa mitego alisemaOmmy punga kitambo na anapumuliwa Ni mke wa mtu na hadi Nyumba kapangishiwa kabisa Ona anavobinua midomo na matako utaelewa sasa.
Picha ya huyo jamaa ninayo, mpole mwwnywwe kumbe naniliuNdio ommy anapumuliwa na nyumba kapangiwa na yule tajir wa GSM
U got a point,ngoma ikiwambwa sana mwisho wake hupasuka tu,kwa level ya Diamond kuwa na msururu wa wafanyakazi vile ni ulimbukeni tu hajafikia hizo levelsina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,
Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Dua LA kuku hili unashindwa kumuombea yeye afanikiwe zaidi baadhi ya watanzagiza kama sie tupate ajira unabaki kuombea ashindwe wabongo bwana na kwa taarifa yako huyo harudi nyuma alianza na kina iyobo wamefanikiwa watakuja wengine na watafanikiwa kupitia yeye huyu sio msanii mbinafsi kama kamtu fulanisina ubaya na Mond ila naona kabisa anguko lake litakua baya vibaya sana,na hasa kwa wingi wa wafanyakazi alionao na matumizi kila mwezi aombee aendelee kubaki hapo hapo,
Zari kaliona hilo ndio maana kamuingiza king anunue nyumba south ambayo Zari ni kama mmiliki.
kwani akitikisika kidogo tu ndio kwa heri,wadhamni watavunja mikataba na hao wooote kina salam sijui babu tale sitanii hatawaona hata wakimkaribia .tupo hapa hapa na tutakuwepo hayo yakitokea
Binamu huyu ommy ni mchicha mwiba kitambo hata ney alimpa hizoPicha ya huyo jamaa ninayo, mpole mwwnywwe kumbe naniliu
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua viewersAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Hili LA viewers limeongelewa sana nna uhakika na wewe umepita tayari kule YouTube kuangalia kokoro sasa si tayari ushaongeza idadi yaoAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Ommy hit the right target,tht's all i can see....Ndio maana Domo povu........Kwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kweli ommy anaopumuliwa kisogoni ila kwenye ugomvi wa kiume ukitaka u win kirahisi mwambie tu unapumuliwa kisogoni kwa sababu kwa mwanaume rijali lazma roho ikuume mana umeshushiwa hadhi yako, so diamond kaamua kumpausha kimtndo asa ukzngatia hasira
Dimpoz kagonga ikulu domo lzm amwage povu tuAlichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..
Sio kweli ukitizama post zao na aina za vijembeMkuu,aliyeanza kupost ni Diamond..Ommy ndiye aliyejiingiza chaka akaanza kutoa povu