You're right.. wanapaswa kumchukulia kama mama tu tatizo ni pale mtu anapokuwa na damu chafu dhidi ya Wema basi ataihamishia hadi kwa Mama Wema kwa kigezo kwamba hajiheshimu...Jamani ni kweli mama wemaamejiweka kihasara hasara hadi kunakuwa na ukakasi linapokuja swala la kumheshimu ila ndugu zangu tumsitiri tu km mzazi. Tumpe heshima yake tusimuingize kwenye dhihaka km ambavyo tungependa mama zetu waheshimiwe hata km hawajiheshimu