Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Jamani ni kweli mama wemaamejiweka kihasara hasara hadi kunakuwa na ukakasi linapokuja swala la kumheshimu ila ndugu zangu tumsitiri tu km mzazi. Tumpe heshima yake tusimuingize kwenye dhihaka km ambavyo tungependa mama zetu waheshimiwe hata km hawajiheshimu
You're right.. wanapaswa kumchukulia kama mama tu tatizo ni pale mtu anapokuwa na damu chafu dhidi ya Wema basi ataihamishia hadi kwa Mama Wema kwa kigezo kwamba hajiheshimu...
 
Wewe mwenye gazeti hapo juu nadhani ungeuliza wakati wema miss tz dangote alikuwa anosha vyombo tandale wema kamchukua dangote akiwa apeche alulu na ka wimbo kake kamooja tatizo tandale safi sana wema mapenzi peleka kwa wahindi piga kazi mama hata mimi nakusapoti mkataviuno akaoe penny
Ungejaribu japo kutumia trend... Wema si Miss Tanzania nchi hii... and even more important, hakuwa Miss Tanzania mwenye mafanikio kupitia taji hilo. Sasa ikiwa hata hao ma-Miss Tanzania ambao walipata mafanikio wote wamefutika midomoni mwa watu, hivi panahitaji shahada kufahamu kinachomweka Wema midomoni mwa watu hadi sasa sio huo u-Miss wake? Huyo Meninnah mwenyewe ambae alikuwa hajawahi kupata coverage ya kutosha, ghafla alianza kuzungumziwa kila siku mara baada ya kusemekana ana uhusiano na Diamond! The same to Penny and Jokate... hivi hapa mtu akishirikisha ubongo wake atashindwa kubaini kwamba ukishakuwa close na Diamond lazima kila wakati utazungumziwa? Tuje kwa member mmoja humu jamvini anajiita heaven on desert... huyu member wengi wanafahamu kupitia Diamond!!

Tunaweza tusimpende Diamond lakini kumnanganya credit zake ni jambo ambalo wala haliwezekani... tutake tusitake... yeyote ambae atajihusisha na Diamond leo hii lazima ataingia kwenye vinywa vya Watanzania kwahiyo ni kichekesho kusema eti ni tag ya Wema ndiyo inamuweka Diamond pale alipo! Binafsi sikumbuki ni lini Diamond aliwahi kushuka chati tangu alipotoa wimbo wa Nenda Kamwambie... unless kama watu wanataka kusema uhusiano wa Diamond na Wema ulikuja mara tu baada ya hiyo ngoma... jambo ambalo si kweli!
 
Last edited by a moderator:
Hi ngoma ilikuwa inabamba sana enzi hizo mpaka Leo nikisikiliza naikubali
Hilo pini nilikuwa sijalisikiliza kitambo lakini ulioniwekea nimeiona utadhani ni brand new... ngoma ilikuwa kali!
 
Jamani ni kweli mama wemaamejiweka kihasara hasara hadi kunakuwa na ukakasi linapokuja swala la kumheshimu ila ndugu zangu tumsitiri tu km mzazi. Tumpe heshima yake tusimuingize kwenye dhihaka km ambavyo tungependa mama zetu waheshimiwe hata km hawajiheshimu

Umemaliza...Mama ni mama, hata akiwa kichaa...
 
Mapenzi kizaizai utagombana na ndugu, yanaliza yanaliza sana yanaumiza
 
Duh! Hii ngoma unanikumbusha mbali sana mazei... ingawaje sikumbuki ni ya mwaka gani ila nadhani kama sio 2006 basi 2007 coz' nakumbuka hii ngoma kipindi hicho nilikuwa mahali ambako niliwepo hiyo miaka!!! Hii video angeniwekea nifah wallah tena leo ningenenepea kitandani!

Haha haaaaaaa ilikua 2007 enzi hizo nipo form 1...nilikua naupenda sana,dah umenikumbusha mbali....😕😕
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa poleeee am already taken...labda katiba mpya ipitishe wanawake na sisi tuwe tunaolewa na wanaume wawili ndio utakuwa mume wangu wa pili :sly::sly:
Hebu nipishe kule... eti am already taken... huyo aliyekuchukua amekuchonga kwa kutumia mikono yake mwenyewe au alipeleka order kwa fundi seremala?
 
Haha haaaaaaa ilikua 2007 enzi hizo nipo form 1...nilikua naupenda sana,dah umenikumbusha mbali....😕😕
si unaona mambo hayo... cheki tunavyo-share interest! sasa oh, am taken... kama anakumiliki mwambie akugeuze uwe mgomba basi ale ndizi za bure.
 
Back
Top Bottom