Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
-
- #301
Sijaacha, mapema january nimelipa fiz za wanangu wote waliopo shule kwa muhula wa kwanza..Hata mkiachana hakikisha unatuma matumizi ya watoto hata kama ni kiasi kidogo namna gani kadiri uwezavyooo
Ili iweje sasa?Naunga mkonohoja tena iwe pisi ya maana hata kwa kuilipa kutwa yake.
😁😁 kaoneIli iweje sasa?
Asante 😀 😀 😀 😀 hujakosea mtaniMadam ukiachana na UKOLO wako, ww ni mwanamke mwerevu🙌🏾
Kakosea sana na usimba wako bado wewe upo vyedi tu .Asante 😀 😀 😀 😀 hujakosea mtani
Mimi nimempenda huyu kaka katuliza sana akili si mtu wa kukurupuka. Nyie mnaanza kumuambia mambo ya mwanamke ya nini sasa?😁😁 kaone
Hata mimi nilijifanya kutuliza kichwa ikabaki kidogo niuwawe kabisa mwanamke wa hivyo ni kumwachia kila kitu na kutimua mbio mpaka soli iguse kisogoni.Mimi nimempenda huyu kaka katuliza sana akili si mtu wa kukurupuka. Nyie mnaanza kumuambia mambo ya mwanamke ya nini sasa?
Hata yeye kasema japo kolo...au sijamwelewa wa kwetu...Kakosea sana na usimba wako bado wewe upo vyedi tu .
😂😂 Pole. Sasa mwanamke anakusababishia shida mpaka unataka kuwa chizi hujamalizana nae unatafuta tena mwanamke mwingine haraka yote hiyo ya nini? Atulie amalizane nae kwa amani wanawake wapo tu.Hata mimi nilijifanya kutuliza kichwa ikabaki kidogo niuwawe kabisa mwanamke wa hivyo ni kumwachia kila kitu na kutimua mbio mpaka soli iguse kisogoni.
Pole sana...mwanamke na kuua ni dkk moja tuu..Hata mimi nilijifanya kutuliza kichwa ikabaki kidogo niuwawe kabisa mwanamke wa hivyo ni kumwachia kila kitu na kutimua mbio mpaka soli iguse kisogoni.
Watu humu wana tatizo la Afya ya akili ukisoma comments zao unabaki kusikitika 😁😂😂 Pole. Sasa mwanamke anakusababishia shida mpaka unataka kuwa chizi hujamalizana nae unatafuta tena mwanamke mwingine haraka yote hiyo ya nini? Atulie amalizane nae kwa amani wanawake wapo tu.
Huyo wa kutafuta ni wakumvuruga tu kichwa ili aone yeye sio lolote yani kama ni mchezo wa chess hiyo kete tunaita the Knight , kete hii huchanganya kwa sababu huwa na uwezo wa ku shift muelekeo wa game🤣😂😂 Pole. Sasa mwanamke anakusababishia shida mpaka unataka kuwa chizi hujamalizana nae unatafuta tena mwanamke mwingine haraka yote hiyo ya nini? Atulie amalizane nae kwa amani wanawake wapo tu.
Sio kweli mkuu , tupo kwenye kikao cha kumtoa mwamba kwenye huo mkenge huwa tunafanya hivi bure kabisa.Watu humu wana tatizo la Afya ya akili ukisoma comments zao unabaki kusikitika 😁
Tena unatakiwa ukimbie kama kichaa mkasa wa huyu jamaa umefanana na wa kwangu kwa asilimia 90 , ndio maana nachangia huku funda la hasira likiwa limenikaba na kutetemeka vibaya mno .Pole sana...mwanamke na kuua ni dkk moja tuu..
Kitu ambacho Wanaume hamna uwezo nacho ni jinsi ya kushindana na Mwanamke yaani uwezo huo hamna kwetu 😁Sio kweli mkuu , tupo kwenye kikao cha kumtoa mwamba kwenye huo mkenge huwa tunafanya hivi bure kabisa.
Huyo wa kutafuta ni wakumvuruga tu kichwa ili aone yeye sio lolote yani kama ni mchezo wa chess hiyo kete tunaita the Knight , kete hii huchanganya kwa sababu huwa na uwezo wa ku shift muelekeo wa game🤣
Hapo ni kuidanganya nafsi yako. Tena ukute kinachompa jeuri ashapata mwanaume mwingine haya wewe ndio uanze kumdorishia ati nawe una mtu mwingine huoni unageuka kichekesho?Huyo wa kutafuta ni wakumvuruga tu kichwa ili aone yeye sio lolote yani kama ni mchezo wa chess hiyo kete tunaita the Knight , kete hii huchanganya kwa sababu huwa na uwezo wa ku shift muelekeo wa game🤣
Kumbe bro richter scale yako ilikuwa kali sana, pole aseeTena unatakiwa ukimbie kama kichaa mkasa wa huyu jamaa umefanana na wa kwangu kwa asilimia 90 , ndio maana nachangia huku funda la hasira likiwa limenikaba na kutetemeka vibaya mno .
Asijaribu mtoa mada, azingatie hiliSasa akishamvuruga ndo inakuwaje mkuu? Huoni kuwa mkewe ndo atajua kumbe huyo ndo hasidi wake hata kabla hajaomba talaka?
Kwa vile mtoa mada ameshaamua kutulia kwa hizo hekaheka zote, na aendelee kutulia tu amalizane nae akapumzishe akili.
Kuambatana na mwanamke mwingine kunaweza kuibua hisia kali za hasira kukaibuka mambo mengine makubwa zaidi ya hili analoshauriwa hapa.
Wewe kenge wa pinki mnamdanganya mwenzenu.Sio kweli mkuu , tupo kwenye kikao cha kumtoa mwamba kwenye huo mkenge huwa tunafanya hivi bure kabisa.