Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Hapo ni kuidanganya nafsi yako. Tena ukute kinachompa jeuri ashapata mwanaume mwingine haya wewe ndio uanze kumdorishia ati nawe una mtu mwingine huoni unageuka kichekesho?
Aende tu asee kupata mtu mwingine sio tatizo, tatizo ni huyo bibie waachane na jamaa kabisa na jamaa asake pesa kama kichaa tu basi.
 
Huyo mke wake anatakiwa apone kwanza kichaa kabla ya kuachwa, ana bahati sana sio mimi asee
 
Wazee wa busara wa humu jamvini kaeni na mwanaume mwenzenu mpeni ushauri anapitia wakati mgumu...wanaume wengi hawapendi ligi na majibizano ila wanavumilia maumivu kwa ndani hasa dharau toka kwa mwanamke..
nimesha ongea nae, japo mi ni mdogo kwake.

Ila huwa ana elewa hekima zangu, Fanton Mahal you always know where to find me my nigga.
 
Pole sana Mkuu
Nadhani mahusiano yenu yapo hatua mbaya
Nakupongeza zaidi unavo handle situation
Nashauri kama talaka mpe tu
Tuendelee na maisha mengine, japo kama ametembea na watoto kwenye mgao wa nyumba unaweza pata 10%
Hata hiyo 10% kaelezea kuwa hana haja nayo.
 
Mkeo ana tako?
 
Hakuna mwanaume anapenda kuishi single yaani bachelor nyumban. Ila basi tuendeleee kuishi bachelor hata mimi nmeshayaona na saiv nakomaa na bachelor life. Kataa ndoa naiunga mkono saivi tena mikono yote miwili

Ndoa ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…