Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Nilikua na attend kote aliko niita kwanza kwasababu nilikua naletewa wito wa kiserikali kwa nyaraka, sasa nikawa naona yaweza kuwa kosa kukaidi.
Pili nilikua naenda kwakua nilikua nataman tusifikie hatua ya kuvunja ndoa maana nilikua najiaminisha yamkini ni hasira tu ,tunaweza tukamaliza kwa kuongea wakiwepo na third parties. Kumbe waapi!!.
 
Hujakosea mzee. Kuna time nilikua nahis kupagawa..na niwe mkwel kuna time nimelia kiume kwa jinsi huyu mama alivyokua determined kuvunja hii ndoa, sasa nawawaza wanangu naona kama hatuwatendei haki, na yeye hanitendei haki mimi.
Ndio sababu nikaona acha nikapumzike kwa wazee kwanza
 
Hizi story za mahusiano ya ndoa ukizichukulia juu juu unaweza toa ushauri ukisukumwa na hisia kutokana na ulivyohadithiwa upande mmoja.Ingekuwa rahisi kukupa ushauri kama tungesikia side ya mkeo.Watoto 4 na anataka kuondoka sio jambo rahisi lazima kuna sababu nzito inayomfanya afanye hayo maamuzi.So ushauri wangu nenda kwa wazee wawakalishe chini kila mtu asikilizwe aseme nini kinamsibu.Kama unachosema ni kweli,huna tabia ya kumdundadunda,huna tabia za umalaya ulioshindikana na majukum yako yote unatilimiliza kama mwanaume mwache aende tu.
 
Tumeshakaa mpaka na wazee wake na wazee wangu kikao cha familia. Ndugu zake wakamtukana mzee wangu live live 😂
 
Pole sana Mkuu
Nadhani mahusiano yenu yapo hatua mbaya
Nakupongeza zaidi unavo handle situation
Nashauri kama talaka mpe tu
Tuendelee na maisha mengine, japo kama ametembea na watoto kwenye mgao wa nyumba unaweza pata 10%
Kwangu mimi hata nikipata 5% wala sio shida. Hamna tabu kabisaa
 
Nimekupata vyema
 
Amen.
Kesi ni week hii hivyo, nitawsikia wao wanasemaje na kutoa mwingozo gani ila nataman tuyamalize haya haraka sana
 
Mental illness is so real…. Wahi katibiwe!!
 
Uko sahihi kamanda. Mi wala silii lii 😂. Nime chill zangu na observe mchezo tu
 
Nitarudisha tu mrejeshi, uzuri hapa JF unaweza fufua uzi hta ipita miaka ..
 
MKUU UNAWEZA KUUA?
YAANI UNA ROHO NGUMU KUWEZA KUUA MTU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…