Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Mkuu picha za uchi ulizokuta ni picha gani, alikua anajichezea kyuma au alikua uchi tuu akajirekodi au alikua anatombwa??
 
Du huyo manzi ni mkorofi kuliko.
Lakini 40 yake iko njiani, ataipata tu.
 
Wakati wa kuwana hakikisha watoto wawili unabaki nao ww acha ubwege Tena pambana kiume watoto wawili wabaki kwako ukishindwa hilo Hauna tofauti na lokole
 
Mleta mada fata hiki alichoandika jamaa. Labda na mimi niongezee kidogo.

1. Endelea kukaa kimya hivyo hivyo, kwa kesi yako uliyosimulia, mwanamke amekukosea sana na kwa kuwa ameshahamisha moyo wake kwenda kwa mwanaume mwingine, amekuwa kiburi zaidi.

2. Mali zinatafutwa, yamkini kwa sasa unaona inaweza ikakuchukua muda kupata zingingine ila amini kwamba huyo mwanamke akiondoka kwako, milango yako mingi itafunguka zaidi. Usije ukathubutu kumuachia mali zote, nenda nae mahakamani, gawaneni hizo mali kisha wekeza kwa sehemu kwa ajili ya wanao, anza tena maisha mengine mapya, usiingie haraka haraka kuanzisha mahusiano ya kifamilia na mwanamke mwingine. Umeshaumwa na nyoka tayari, so maumivu unayajua deeply. Womean are all the same japo najua ktk hili utakataa. Sikiliza mzee, popote penye anguko la mwanaume spiritually au physically basi behind yupo mwanamke. Kumbuka anguko la Adamu pale Eden, mfalme Ahabu, Samson akaangushwa na mwanamke. Angalia matajiri wakubwa duniani akina Elon Musk, Bill Gates, Putin n.k wote hawa wametalakiana na wake zao na hawataki kuoa tena, sasa jiulize wewe una akili kuliko hawa wanaozungukwa na jopo la wanasaikolojia, watu wa rohoni n.k? Mtume Petro alisisita kukaa na mwanamke kwa akili sana sababu alijua mlango wa shetani kuingiza maangamizi kwa mwanaume ni mwanamke.

3. Huyo mwanamke utafika wakati atajirudi tu kwako, kwa sasa una maumivu makali sana. Na unatamani hata aje akuombe msamaha ili mrudiane muendelee kulea familia. Kati ya makosa makubwa ambayo utakuja kuyafanya ni kuja kumsamehe huyo mwanamke kwa sasa wala kwa baadae.

Endelea kujikaza kwa kutomjibu wala kumtafuta.
 
Mleta mada fata hiki alichoandika jamaa. Labda na mimi niongezee kidogo.

1. Endelea kukaa kimya hivyo hivyo, kwa kesi yako uliyosimulia, mwanamke amekukosea sana na kwa kuwa ameshahamisha moyo wake kwenda kwa mwanaume mwingine, amekuwa kiburi zaidi.

2. Mali zinatafutwa, yamkini kwa sasa unaona inaweza ikakuchukua muda kupata zingingine ila amini kwamba huyo mwanamke akiondoka kwako, milango yako mingi itafunguka zaidi. Usije ukathubutu kumuachia mali zote, nenda nae mahakamani, gawaneni hizo mali kisha wekeza kwa sehemu kwa ajili ya wanao, anza tena maisha mengine mapya, usiingie haraka haraka kuanzisha mahusiano ya kifamilia na mwanamke mwingine. Umeshaumwa na nyoka tayari, so maumivu unayajua deeply. Womean are all the same japo najua ktk hili utakataa. Sikiliza mzee, popote penye anguko la mwanaume spiritually au physically basi behind yupo mwanamke. Kumbuka anguko la Adamu pale Eden, mfalme Ahabu, Samson akaangushwa na mwanamke. Angalia matajiri wakubwa duniani akina Elon Musk, Bill Gates, Putin n.k wote hawa wametalakiana na wake zao na hawataki kuoa tena, sasa jiulize wewe una akili kuliko hawa wanaozungukwa na jopo la wanasaikolojia, watu wa rohoni n.k? Mtume Petro alisisita kukaa na mwanamke kwa akili sana sababu alijua mlango wa shetani kuingiza maangamizi kwa mwanaume ni mwana

3. Huyo mwanamke utafika wakati atajirudi tu kwako, kwa sasa una maumivu makali sana. Na unatamani hata aje akuombe msamaha ili mrudiane muendelee kulea familia. Kati ya makosa makubwa ambayo utakuja kuyafanya ni kuja kumsamehe huyo mwanamke kwa sasa wala kwa baadae.

Endelea kujikaza kwa kutomjibu wala kumtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…