Baada ya Yanga kujitenga, Familia ya Yusuph Manji yahitimisha msiba bila ya Yanga!

Tatizo ninaloliona hapa jamaa hajui maana ya tamasha halafu ujuaji mwingi, hajui kuna hadi matamasha ya maombi.

Mi nimekuelewa sana Mkuu, tuko pamoja katika hili.
 
Tatizo ninaloliona hapa jamaa hajui maana ya tamasha halafu ujuaji mwingi, hajui kuna hadi matamasha ya maombi.

Mi nimekuelewa sana Mkuu, tuko pamoja katika hili.
Hawa ndio wale walikuwa wanatoa povu wakiona mtu ame-like taarifa ya msiba.
 
Nyinyi ni wachawi na wanga wakubwa. Nani asiejua huyo injinia wa mchongo alivyo na roho mbaya sana na chuki kali sana kwanza kwa simba na kwa watu ambao wamemzidi uwezo
 
Hii laana itawatafuna na ubingwa watausikia kwenye bomba miaka mitano MAMAEH.
 
Nyinyi ni wachawi na wanga wakubwa. Nani asiejua huyo injinia wa mchongo alivyo na roho mbaya sana na chuki kali sana kwanza kwa simba na kwa watu ambao wamemzidi uwezo
Hayo ni yako binafsi sasa, mimi hapa naongelea ametuangusha kama kiongozi wetu pale Yanga na sio vinginevyo.
 
Labda walishiriki katika ile kadhia ya kupimwa mkojo hivyo wanaona aibu!
 
Umasikini ni aghari, waswahili kila kukicha mnajikomba kwa wahindi na waarabu ambso hawana habari na ninyi. Kwenye misiba mnajazana ili mkale mapochopocho ya wahindi na waarabu, kwenye misiba yenu hao mnaojikomba kwao hawaonekani hata kama mnafanya kazi pamoja, na huko kwenye misiba yao wanawatenga wakihofia mtawaibia.
 
Sisi wa Pamba Jiji tunatoa pole kwa Familia ya shabiki na mfadhili wa zamani wa Yanga Ng Yusuf Manji...Apumzike kwa Amani 🙏🙏🙏
 
Mkuu, hii thread sijawaongelea wahindi na waarabu wa mtaani kwenu, hapa namuongelea Yusuph Manji aliyekuwa kiongozi na mfadhili wa Yanga kwa takribani miaka 10, get your facts right.
 
Rip Manji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…