Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Bila kificho timu inayoongozwa kuchukiwa na kutafutwa na TFF hii ya sasa ni Yanga nakumbuka speech moja ya Rais alidiriki kusema Rais wa TFF ni Simba lia lia bila shaka jamaa anaenda kuprove kwamba yeye ni Simba lialia haswa na hapendezwi na Yanga kufanya vizuri hasa kile kichapo cha goli 5.

Baada ya TFF kuipangia Yanga ratiba ngumu na Yanga kuibuka na point tisa kibabe mbaya zaidi kuipiga timu ya baba kichapo cha mbwa mwizi Tff wamekuja na hili la kumfungia Aucho mechi 3 Mungu alivyomwema Yanga wanaenda kuibuka na pointi Tisa tena.

Tff wanaishi kwa kisasi sana na Yanga ukienda mbali zaidi Tff wanaogopa kivuli cha Eng Hersi wanataka kumwaribia ili Sifa zake nzuri zififie ila hawawezi wameshashindwa hakuna Mwanayanga hajui value ya Eng Hersi. Rais wa Tff yupo nyuma ya haya yote yanayoendelea hujma dhidi ya Yanga.

Wanayanga muwe Imara Tff wakishindwa la aucho watakuja na Plan F ili mradi kuipa unafuu Simba ila chini ya Gamondi yanga wataenda kukwepa mitego yote ya Tff.

Roma ikisema imesema
Yaani nyie watu mna akili sawa kweli?
Mmebebwa aucho hakupigwa red ili mshinde leo mnajiliza kinafiki humu kweli?

Timu lenu linaroga wazi wazi na hamuadhibiwi kwa ushirikina??!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
Halafu walivyo ng'ombe,wanaamini rais wa TFF ndiye anapanga ratiba.
Wengi inaonesha ni watu wasio na elimu kiasi kwamba hawajui majukumu ya kiutendaji ya TFF.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
Hawajiamini!! wanakiogopa kivuli chao wenyewe!! Kwani Aucho ndo nani!! Afungiwe asifungiwe hakuna tofauti yoyote!!
Makolokwinyo mnafarijiana
 
Halafu walivyo ng'ombe,wanaamini rais wa TFF ndiye anapanga ratiba.
Wengi inaonesha ni watu wasio na elimu kiasi kwamba hawajui majukumu ya kiutendaji ya TFF.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

hahaha mashabiki wa Simba bado PTDS inawasumbua hakika mlitakiwa mle kama bakora 8 hivi zile tano hazikuwatosha
 
Wagungie team nzima.....ibakie Thimba dhaifu .....pekee lengo litimie
 
jina lenyewe linasadifu uliyoandika hiyo ratiba wanapanga mbuzi mawe au binadamu wewe endelea kulala tu ukiamka asubuhi soma ulichoandika tena.
kweli nimeamini pale utopoloni wenye akili watabaki kuwa wawili 2.kabla ligi haijaanza si hyo ratiba ndo ilipangwa?.hqmkulijuq hilo? Mbona mnatia aibu
 
Kwa INONGA Walisema Refa kashaaamua alitoa Yellow Leo kwa Khalid hawajaangalia hilo ila TFF Dadeek zenu
Nakubaliana kabisa na mtoa mada. TFF na Karia wao, huenda waliumizwa sana na yale matokeo. Na bila shaka walitegemea yangeisha kwa sare, au Yanga kufungwa ili kupoza machungu ya mtoto wao mpendwa simba. Ila mwisho w siku mambo yakawa ni tofauti.

Maana ukiangalia hata lile tukio, utagundua Ajibu ndiye aliyekuwa chanzo kwa kutaka kupoteza muda. Na Aucho alipomsukuma, ndiyo akapata sababu ya kujiangusha na kuanza kugalagala chini kama katoto ka miaka 3! Hopeless kabisa.

Mwisho wa siku wanamfungia Aucho na mwamuzi Emmanuel Mwandembwa ambaye mapungufu yake kwenye ule mchezo yalikuwa ni ya kawaida sana ukilinganisha na yale ya akina Tatu Malogo!!
 
Ni mwendelezo wa chuki za #Tff dhidi ya timu nzima ya Yanga, viongozi wa Yanga, mashabiki wa Yanga na wachezaji wa Yanga.

Hawa #Tff waliumia sana yanga kubeba pointi 3 pale Mkakwani dhidi ya coastal union wote tunaelewa timu ya coastal niya watoto pendwa wa baba wa Tff ana hisa pale na pia costal is the branch of Simba which deal with football elewa wale ni Simba B.

Simple observation baada ya ile gemu #Tff wamekuja na maamuzi yao ya kijinga kabisa kwanza wameanza kumfungia mwamuzi wa ile gemu miezi 6 hili lipo wazi itakua mwamuzi aligoma kufwata maelekezo yao ya kuhakikisha yanga haishindi.

Pia watakua hawakupenda kitendo cha mwamuzi kutompa kadi nyekundu mchezaji wa Yanga Khalid Aucho Dr wa Mpira walitaka atolewe nje ili Yanga ifungwe au gemu ikwende droo wameshindwa na chuki zao.

Kitendo cha mchezaji Khalid Aucho hizo ni chuki za #Tff dhidi yake ni mwendelezo tu ukiangalia msimu uliopita mchezaji khalid Aucho hakuwa kwenye Tuzo zozote za Tanzania ni ajabu sana mchezaji aliyeperform kwa ubora mkubwa sana akiwa Yanga na pia timu yake ya Taifa Uganda cranes na akivaa tambala ya ukapteni timu yake ya Taifa kukosa kuwepo kwenye kinyanganyiro kile ni chuki tu na roho mbaya za #Tff.

Roma ikisema imesema.
Nashauri ungeenda mahakamani tu badala ya yanga au imekaaje iyo
 
Wanatafuta Tu namna Yanga apotee lakini itakua ngumu Sana tupo hapa .. Yanga bado atachukua ubingwa kibabe...
Yanga imejaa vipaji Gamondi ni fundi atabadili mfumo wa kucheza kwa Aucho kukosekana, namuona Skudu akivaa jezi au Mkude japo hatuwezi kukaa kimya kulisemea hili wazi kuwa yule Mr Karai ni mchawi wetu na ni mjinga kabisa ye anadhani kuishughulikia Yanga ndo kutaipa Simba ubingwa!

Ukweli ni kuwa Simba ni underdog kwasasa uwezo wake ni sawa na timu ndogo za ligi kama JKT na Kmc na mechi ya mwisho Simba amedhihirisha udogo wake Kwa kudroo na Namungo nyumbani. Tunawaasa marefa wachezeshe kihalali mechi za Simba na panapovuja pataonekana!

Ukiwa shabiki wa kolowizard huwezi kuona jinsi Yanga inashughulikiwa na Mr Karai.

Eng Hersi ni tishio kubwa kwasasa kwa TFF na tayari wameshachelewa jamaa keshatoboa kwa Yanga yake kusifika Africa , level za Hersi kwasasa ni kukaa mezani na kina Motsepe na Rais wa Fifa na sio matopeni TFF na hicho ndio kinawauma sana TFF hata kuiumiza Yanga na adhabu za kipumbavu , hivi ligi nzima anaecheza rafu za viwiko ni Aucho tu? Haya majitu ya TFF hata aibu hayana Na Bado tuna point zingine tatu derby ijayo ambapo Yanga tutaikanda Simba wiki (7-0).
 
Lakini lile kosa ni la kijinga kabisa aucho amefanya na aliwahi kuigharimu yanga mechi ya fainali ya shirikisho kwa makosa kama haya ya upuuzi uliojaa utoto .
Mchezaji mkubwa Kama yeye hakupaswa kuiingiza timu gharama ya kizembe vile .
Mchezaji muhimu kwa timu kama yeye anatakiwa kujitambua.
Ni wakati wa Jonas mkude na gift mauya kuchukua Hiyo namba ,
Aucho ana tugharimu sana na nidhamu yake ya kishamba. Ni kama haelewi anacheza timu kubwa kiasi gani na ana nafasi gani katika timu husika. Mtu altugharimu fainali ya shirikisho akaonekana amejutia kwa upuuzi alioufanya nikajua kajifunza kumbe wapi, juzi kwa Coastal anafanya yale yale. Yanga tusipo sajili mtu dirisha dogo mwenye viwango vya huyu mshamba atatucost one day pakubwa zaidi
 
Yanga bila Feisal inaezekana, yanga bila mayele inawezekana, yanga bila aucho, tunaonewa. Ama kweli ujinga mzigo. Chamsingi aucho hajaonewa.
Mambo ni matano
1700227409418.jpg
 
TFF ni wajinga na WAPUMBAVU Sana ..
Musonda alipigwa makonde mazito kwenye hiyo game lakini waliompiga wala hawajaguswa...
Aucho kachokozwa na ajibu lakini yeye ndo kafungiwa mechi tatu na bado alipewa Kadi ya njano!!!?

TFF nyie ni mik*ndu
Wewe Una hoja.
Refa alitakiwa kutoa adhabu Kali zaidi Kwa Aucho. Refa Kama Hakimu aliona Kadi ya njano ndo adhabu sahihi, TFF/Bodi ya Ligi iseme Nani kakata rufaa dhidi ya maamuzi ya awali. Kama Mahakama ya mwanzo imesema Aucho Kwa kumshambulia Ajibu àdhabu yake ni Kadi ya njano, imekuwaje Mahakama ya wilaya iitishe jalada la kesi na kuongeza adhabu?
 
Yanga imejaa vipaji Gamondi ni fundi atabadili mfumo wa kucheza kwa Aucho kukosekana, namuona Skudu akivaa jezi au Mkude japo hatuwezi kukaa kimya kulisemea hili wazi kuwa yule Mr Karai ni mchawi wetu na ni mjinga kabisa ye anadhani kuishughulikia Yanga ndo kutaipa Simba ubingwa!

Ukweli ni kuwa Simba ni underdog kwasasa uwezo wake ni sawa na timu ndogo za ligi na mechi ya mwisho Simba amedhihirisha udogo wake Kwa kudroo na Namungo nyumbani. Tunawaasa marefa wachezeshe kihalali mechi za Simba na panapovuja pataonekana!

Ukiwa shabiki wa kolowizard huwezi kuona jinsi Yanga inashughulikiwa na Mr Karai.

Eng Hersi ni tishio kubwa kwasasa kwa TFF na tayari wameshachelewa jamaa keshatoboa kwa Yanga yake kusifika Africa , level za Hersi kwasasa ni kukaa mezani na kina Motsepe na Rais wa Fifa na sio matopeni TFF na hicho ndio kinawauma sana TFF hata kuiumiza Yanga na adhabu za kipumbavu , hivi ligi nzima anaecheza rafu za viwiko ni Aucho tu? Haya majitu ya TFF hata aibu hayana Na Bado tuna point zingine tatu derby ijayo ambapo Yanga tutaikanda Simba wiki (7-0).
Skudu? Sidhani.
Nahisi kuna option tatu tu ni sureboy na Mudathir au Mauya na Mudathir au Mkude na Mudathir. Na mechi tatu zinazofuata ni Yanga vs Mashujaa (H) Yanga vs Kagera (A) na Yanga vs Mtibwa (H). Gamond anaweza akachanga karata zake vyema, Yanga ikapata alama zote 9. La muhimu uongozi ufanye usajili mwingine tuwe na Aucho wawili pale kikosini ili Aucho mmoja akiwa majeruhi au adhabu basi Aucho mwingine anakuja kufanya kile kile au zaidi ya aliyekuwa nje.
 
Ukiangalia gemu kadhaa kabla ya derby, mara nyingi tu Aucho alikuwa anastahili kadi za njano ila marefa walikuwa wanamezea. Inawezekana haki ingekuwa inatendeka hata derby yenyewe asingeiona.
Hoja yako ni sahihi kabisa lakini hili si Kwa Aucho pekee. Tatizo la waamuzi wa Tanzania haliwezi kuisha Kwa kufurahia maamuzi yanayobeba timu tunazopenda.
Hoja yangu katika hili ni double punishment iliyoelekezwa Kwa Aucho. Adhabu aliyopewa inaendana na Kadi nyekundu. Je, Kamati ina mamlaka ya kufuta Kadi ya njano na kutoa nyekundu?
 
Aucho alitakiwa kupewa red card pale pale baada ya tukio refa alikosea kutoa yellow card lakini kama refa tayari alishatoa adhabu uwanjani basi TFF wamekosea pia kutoa adhabu husika.
Huu utabaki kuwa ukweli mweupe Kwa tusioegemea upande. Haiwezekani TFF ijipe mamlaka ya refa Kwa kufuta Kadi ya njano iliyotolewa na Mwamuzi wakati wa mchezo na kumpa Kadi nyekundu baada ya mchezo.
 
Back
Top Bottom