Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Lakini lile kosa ni la kijinga kabisa aucho amefanya na aliwahi kuigharimu yanga mechi ya fainali ya shirikisho kwa makosa kama haya ya upuuzi uliojaa utoto .
Mchezaji mkubwa Kama yeye hakupaswa kuiingiza timu gharama ya kizembe vile .
Mchezaji muhimu kwa timu kama yeye anatakiwa kujitambua.
Ni wakati wa Jonas mkude na gift mauya kuchukua Hiyo namba ,
 
Ukiangalia gemu kadhaa kabla ya derby, mara nyingi tu Aucho alikuwa anastahili kadi za njano ila marefa walikuwa wanamezea. Inawezekana haki ingekuwa inatendeka hata derby yenyewe asingeiona.
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?

Yako kama majinga nadhani yanahisi Ni sifa kulalama kama matoto kila kukicha!
 
Ni mwendelezo wa chuki za #Tff dhidi ya timu nzima ya Yanga, viongozi wa Yanga, mashabiki wa Yanga na wachezaji wa Yanga.

Hawa #Tff waliumia sana yanga kubeba pointi 3 pale Mkakwani dhidi ya coastal union wote tunaelewa timu ya coastal niya watoto pendwa wa baba wa Tff ana hisa pale na pia costal is the branch of Simba which deal with football elewa wale ni Simba B.

Simple observation baada ya ile gemu #Tff wamekuja na maamuzi yao ya kijinga kabisa kwanza wameanza kumfungia mwamuzi wa ile gemu miezi 6 hili lipo wazi itakua mwamuzi aligoma kufwata maelekezo yao ya kuhakikisha yanga haishindi.

Pia watakua hawakupenda kitendo cha mwamuzi kutompa kadi nyekundu mchezaji wa Yanga Khalid Aucho Dr wa Mpira walitaka atolewe nje ili Yanga ifungwe au gemu ikwende droo wameshindwa na chuki zao.

Kitendo cha mchezaji Khalid Aucho hizo ni chuki za #Tff dhidi yake ni mwendelezo tu ukiangalia msimu uliopita mchezaji khalid Aucho hakuwa kwenye Tuzo zozote za Tanzania ni ajabu sana mchezaji aliyeperform kwa ubora mkubwa sana akiwa Yanga na pia timu yake ya Taifa Uganda cranes na akivaa tambala ya ukapteni timu yake ya Taifa kukosa kuwepo kwenye kinyanganyiro kile ni chuki tu na roho mbaya za #Tff.

Roma ikisema imesema.
 
mtu mbili tu pale utopoloni ndo wenye nafuu.
Sasa ratiba uwa inapangwa kabla ya ligi kuanza au baada ya ligi kuanza?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app

jina lenyewe linasadifu uliyoandika hiyo ratiba wanapanga mbuzi mawe au binadamu wewe endelea kulala tu ukiamka asubuhi soma ulichoandika tena.
 
Kwa upumbavu wa kiwango hiki acha CCM wawanyooshe mfe masikini!

umesoma ulichoandika lakini au kuna mtu amekuandikia manake ninavyokufahamu ulivyokuwa na akili nyingi sidhani kama ni wewe unaeza andika huo ujinga.
 
Ni mwendelezo wa chuki za #Tff dhidi ya timu nzima ya Yanga, viongozi wa Yanga, mashabiki wa Yanga na wachezaji wa Yanga.

Hdhidi yake ni mwendelezo tu ukiangalia msimu uliopita mchezaji khalid Aucho hakuwa kwenye Tuzo zozote za Tanzania ni ajabu sana mchezaji aliyeperform kwa ubora mkubwa sana akiwa Yanga na pia timu yake ya Taifa Uganda cranes na akivaa tambala ya ukapteni timu yake ya Taifa kukosa kuwepo kwenye kinyanganyiro kile ni chuki tu na roho mbaya za #Tff.

Roma ikisema imesema.
Ni kweli ndugu huoni utovu wa nidhamu wa Aucho?

Unaelewa ni Aucho ndio ameigharimu timu isichukuwe ubingwa wa Confederation cup ya CAF kwa tabia zake hizi hizi?

Ukitaka kuwa na familia yenye discipline usidekeze Watoto watapata tabu sana kwenye maisha yao.
 
Yanga bila Feisal inaezekana, yanga bila mayele inawezekana, yanga bila aucho, tunaonewa. Ama kweli ujinga mzigo. Chamsingi aucho hajaonewa.
 
Yanga bila Feisal inaezekana, yanga bila mayele inawezekana, yanga bila aucho, tunaonewa. Ama kweli ujinga mzigo. Chamsingi aucho hajaonewa.

akili za usingizi hizo,kiukweli siku ile Yanga imefunga goli la 3 nliwaonea huruma sana Simba, kumbe mlitakiwa mfungwe hata goli 8. Tunafahamu Tff na nyie lenu moja matukio kama haya wakifanya wachezaji wa Simba wanapigiwa makofi na kuambiwa next time rudieni tena batoto bazuri ba #TFF
 
Ni kweli ndugu huoni utovu wa nidhamu wa Aucho?

Unaelewa ni Aucho ndio ameigharimu timu isichukuwe ubingwa wa Confederation cup ya CAF kwa tabia zake hizi hizi?

Ukitaka kuwa na familia yenye discipline usidekeze Watoto watapata tabu sana kwenye maisha yao.

Sawa sio matendo ya kiungwana kwenye soka mbona matukio kama haya wakifanya wachezaji wa Simba ni mara chache sana tumeona wakiadhibiwa ref Inonga tuliambiwa refa keshatoa yellow card ref Mtenje Albano wa coastal union lugha ilikua ile ile Refa keshatoa kadi Why aucho na vipi zile tuzo za Tff Aucho niwa kukosa kipengele cha kiungo bora kweli??
 
acheni kulia Lia nyie mwiko nyuma
IMG-20231105-WA0079.jpg
 
Back
Top Bottom