Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Aucho alitakiwa kupewa red card pale pale baada ya tukio refa alikosea kutoa yellow card lakini kama refa tayari alishatoa adhabu uwanjani basi TFF wamekosea pia kutoa adhabu husika.
Na aliyempiga makonde Musonda hadi alianguka chini naye alipewa adhabu gani kwenye mechi hiyo?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni mwendelezo wa chuki za #Tff dhidi ya timu nzima ya Yanga, viongozi wa Yanga, mashabiki wa Yanga na wachezaji wa Yanga.

Hawa #Tff waliumia sana yanga kubeba pointi 3 pale Mkakwani dhidi ya coastal union wote tunaelewa timu ya coastal niya watoto pendwa wa baba wa Tff ana hisa pale na pia costal is the branch of Simba which deal with football elewa wale ni Simba B.

Simple observation baada ya ile gemu #Tff wamekuja na maamuzi yao ya kijinga kabisa kwanza wameanza kumfungia mwamuzi wa ile gemu miezi 6 hili lipo wazi itakua mwamuzi aligoma kufwata maelekezo yao ya kuhakikisha yanga haishindi.

Pia watakua hawakupenda kitendo cha mwamuzi kutompa kadi nyekundu mchezaji wa Yanga Khalid Aucho Dr wa Mpira walitaka atolewe nje ili Yanga ifungwe au gemu ikwende droo wameshindwa na chuki zao.

Kitendo cha mchezaji Khalid Aucho hizo ni chuki za #Tff dhidi yake ni mwendelezo tu ukiangalia msimu uliopita mchezaji khalid Aucho hakuwa kwenye Tuzo zozote za Tanzania ni ajabu sana mchezaji aliyeperform kwa ubora mkubwa sana akiwa Yanga na pia timu yake ya Taifa Uganda cranes na akivaa tambala ya ukapteni timu yake ya Taifa kukosa kuwepo kwenye kinyanganyiro kile ni chuki tu na roho mbaya za #Tff.

Roma ikisema imesema.
Hapa umepuyanga na umebebwa na ushabiki tu.
Wenzio siku ileile tulisema Mwamuzi asipofungiwa tutashangaa na Uzi uko humu JF. Makosa yake yalikuwa mengi Sana wakati Mechi ilikuwa ya kawaida tu.
1.Kusaidia Coast kupoteza Muda Kwa kutokemea upotezaji Muda na yeye mwenyewe kuruhusu foul zisipigwe Kwa wakati. Kuna foul ilichukua dakika 6 Tangu kutokea Hadi kupigwa. Kutoa ushauri na maelekezo Kwa Wachezaji Kwa Muda mrefu na hivyo kupoteza Muda mwingi wa mchezo.
2.Kufuta Kadi ya njano dakika 33 baada ya kumwonywesha mchezaji na hapohapo kumwonywesha Kadi nyingine ya njano.
3.Kutomwadhibu Ajibu Kwa kitendo cha makusudi cha kupoteza Muda.
4.Kumpa mchezaji adhabu ndogo kuliko aliyostahili (Aucho).
5.Kishindwa kabisa kumudu mchezo na kuonekana Mechi ilikuwa kubwa kuliko uwezo wake.
 
Na wewe mara 15 (6-0, 5-0, 4-1)
JamiiForums-1509915263.jpg
JamiiForums258363410.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ni sahihi kabisa lakini hili si Kwa Aucho pekee. Tatizo la waamuzi wa Tanzania haliwezi kuisha Kwa kufurahia maamuzi yanayobeba timu tunazopenda.
Hoja yangu katika hili ni double punishment iliyoelekezwa Kwa Aucho. Adhabu aliyopewa inaendana na Kadi nyekundu. Je, Kamati ina mamlaka ya kufuta Kadi ya njano na kutoa nyekundu?
Kamati haijafuta wala kubadili kadi yoyote bali imeongeza adhabu kama ambavyo imetoa hizo adhabu zingine kwa wachezaji na timu.

Na sijafurahia hiyo adhabu, ninachosema imechelewa saaana.
 
21 tim ya taifa inacheza 24 19:00 EST mnatkiwa muwe uwanjan aljeria vp na huk nako TFF wamepanga ratiba???
 
Kamati haijafuta wala kubadili kadi yoyote bali imeongeza adhabu kama ambavyo imetoa hizo adhabu zingine kwa wachezaji na timu.

Na sijafurahia hiyo adhabu, ninachosema imechelewa saaana.
Unaposema Kamati haijafuta adhabu nyingine unawapa nguvu wanaosema Aucho kaadhibiwa mara 2 Kwa kosa lile lile. Ni asiyejua soka kama walivyo wanakamati anayeweza kusema Kadi ya njano eti siyo adhabu. Mchezaji mwenye Kadi ya njano hawezi kucheza Kwa Uhuru kama mchezaji asiye na Kadi kabisa. Ni kama Mtu mwenye kifungo cha nje ambaye ameamriwa na Hakimu asitende kosa Kwa kipindi Fulani.
 
Ni kweli kadi ya njano inatakiwa kumfanya mchezaji ajitafakari si tu katika mchezo aliopewa kadi bali pia katika mechi zinazofuata ila karudie kuangalia mechi za Yanga uone kama kadi zilikuwa zinamzua Aucho asiendelee kucheza rafu zilizostahili kadi zaidi.

Tunapojadili adhabu hii tusisahau pia kujadili nyakati ambazo hakuadhibiwa wakati alistahili.
 
Unaposema Kamati haijafuta adhabu nyingine unawapa nguvu wanaosema Aucho kaadhibiwa mara 2 Kwa kosa lile lile. Ni asiyejua soka kama walivyo wanakamati anayeweza kusema Kadi ya njano eti siyo adhabu. Mchezaji mwenye Kadi ya njano hawezi kucheza Kwa Uhuru kama mchezaji asiye na Kadi kabisa. Ni kama Mtu mwenye kifungo cha nje ambaye ameamriwa na Hakimu asitende kosa Kwa kipindi Fulani.
Kadi ya njano ni onyo sio adhabu kadi nyekundu ndio adhabu na mrundikano wa kadi za njano ndio adhabu ,Aucho kapewa adhabu uwanjani alipewa onyo,lakini kamati imeona anastahili kupewa adhabu na sio onyo
 
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.

Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
Ni wasi kbsa karia haipendi yanga hata uso una onesha kuwa anachuki binafsi na yanga
 
Mnapokuwa mnaisemea Yanga kuhujumiwa na TFF, pia tuisadie na Tabora United kwa sababu nayo inaonekana haipendwi kutokana na sababu mbalimbali. Moja, inasemekana TFF walitaka Pamba ya Mwanza ipande lakini wapi!

Pia, Tabora United waliwanyima Simba golikipa mwenye cleansheet nyingi John Noble kutoka Nigeria. Huyu jamaa angewasaidia sana Simba kipindi hiki Manula anauguza jeraha.

TFF kwa sasa ni kama vile wanawavizia Tabora United. Ikitokea Tabora United kafanya kosa, anaadhibiwa kikamilifu tofauti na timu nyingine.
 
Skudu? Sidhani.
Nahisi kuna option tatu tu ni sureboy na Mudathir au Mauya na Mudathir au Mkude na Mudathir. Na mechi tatu zinazofuata ni Yanga vs Mashujaa (H) Yanga vs Kagera (A) na Yanga vs Mtibwa (H). Gamond anaweza akachanga karata zake vyema, Yanga ikapata alama zote 9. La muhimu uongozi ufanye usajili mwingine tuwe na Aucho wawili pale kikosini ili Aucho mmoja akiwa majeruhi au adhabu basi Aucho mwingine anakuja kufanya kile kile au zaidi ya aliyekuwa nje.
Alshabaab haaminiki huyo. Hiyo ratiba haijapita bungeni halafu ikapelekwa kwa RAIS kutiwa saini.
Inaweza kubadilishwa wakati wowote wakapangiwa ratiba ngumu ya kuikomoa wakijua mnaemtegemea AUCHO hayupo.
 
sio Aucho hata Mudhair alitakiwa afungiwe kiukweli yanga ndiyo inaongoza kwa kubebwa na TFF hata hiyo faini ya kupita mlango uysio rasmi ni ndogo kwani timu inayoongoza kufanya vitendo hivyo ni yanga.

Na wangepita mlango rasmi, Simba anhechapwa 10 maana wangerelax wakinua dawa ya mganga wao aliyoimwaga mlango rasmi itafanya kazi...
 
Back
Top Bottom