WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Huko Msomali hausiki!!! Aucho atakuchafua [emoji817]Kwahiyo hata mechi za kimataifa, Aucho hatoruhusiwa kucheza?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Msomali hausiki!!! Aucho atakuchafua [emoji817]Kwahiyo hata mechi za kimataifa, Aucho hatoruhusiwa kucheza?
Inonga ulikuwa bonanza watanzania tuelewe huu mchezoKwa INONGA Walisema Refa kashaaamua alitoa Yellow Leo kwa Khalid hawajaangalia hilo ila TFF Dadeek zenu
Kama walivyokuingiza wewe × 5Mwiko umewaingia nyuma utopolo kisawasawa.
Aisee watu mnaongoza ligi lakini kila siku kulalamika, mashabiki wa Yanga sijui mpoje, hamridhiki na chochote, mara ratiba imebana,mara tumepewa mapunziko marefu,kuna kipindi mlilalamika viporo vya simba walipokuwa club bingwa,ila nye mlipokuwa shirikisho hamlalamiki kuwa na viporo.
Mnataka Malaika ashuke toka mbinguni awe Rais wa TFF?
mtu mbili tu pale utopoloni ndo wenye nafuu.
Sasa ratiba uwa inapangwa kabla ya ligi kuanza au baada ya ligi kuanza?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kama ipo,ipo tuNi mw#Tff.
Roma ikisema imesema.
Ni kweli ndugu huoni utovu wa nidhamu wa Aucho?Ni mwendelezo wa chuki za #Tff dhidi ya timu nzima ya Yanga, viongozi wa Yanga, mashabiki wa Yanga na wachezaji wa Yanga.
Hdhidi yake ni mwendelezo tu ukiangalia msimu uliopita mchezaji khalid Aucho hakuwa kwenye Tuzo zozote za Tanzania ni ajabu sana mchezaji aliyeperform kwa ubora mkubwa sana akiwa Yanga na pia timu yake ya Taifa Uganda cranes na akivaa tambala ya ukapteni timu yake ya Taifa kukosa kuwepo kwenye kinyanganyiro kile ni chuki tu na roho mbaya za #Tff.
Roma ikisema imesema.
Na wewe mara 15 (6-0, 5-0, 4-1)Kama walivyokuingiza wewe × 5
Yanga bila Feisal inaezekana, yanga bila mayele inawezekana, yanga bila aucho, tunaonewa. Ama kweli ujinga mzigo. Chamsingi aucho hajaonewa.
Ni kweli ndugu huoni utovu wa nidhamu wa Aucho?
Unaelewa ni Aucho ndio ameigharimu timu isichukuwe ubingwa wa Confederation cup ya CAF kwa tabia zake hizi hizi?
Ukitaka kuwa na familia yenye discipline usidekeze Watoto watapata tabu sana kwenye maisha yao.
acheni kulia Lia nyie mwiko nyuma