utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Viongozi wa afrika wana laana, mikopo wanachukuagizani, tena wanaenda kuchua kwa mchina asiyewafatilia ili wazipige, mfano hiyo SGR pesa inayokopwa kwa kudai ina riba na masharti nafuu, hiyo riba na hayo masharti nafuu hayasemwi ni yapi.Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's
A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).
Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.
Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.
Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Marafiki wa jiwe.Hawa sio ndio wale wanatoa tu bila masharti yoyote? cc kidevu
Aaaa wapi utataifishwa wewe na kizazi chako kabla nchi yetu Tanzania walahiCC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Mzee baba kasema hawana masharti, siku tutakayoitwa Tanchin ndio tutayajua masharti yote
Viongozi wa kiafrica hawafanyi vipaumbele vya wananchi ufanya vipaumbele vyao viwajengee umaarufu wa kisiasa kwa gharama za maumivu ya kodi za wananchi wao.wako radhi kufanya miradi mikubwa na kuendesha kwa ruzuku ili wajijenge kisiasa.CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Ukiwa na roho mbaya ni ngumu kufanya jambo ukafanikiwaHizi habari zinazidi kumuumbua tu huyo mtu wenu.
China Pesa kwanza,hawana utu,wala huruma na MTU,Pesa kwao ndio mungu wao,ni heri tuwarudishe wakoloni weupe watutawale kuliko kutawaliwa na mchina.Wachina hawana mfumo wa kusaidia jamii inayowazunguka kama walivo Westerners.Ni wabinafsi,wachoyo kuliko maelezoJiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.
Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.
Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
Utalipa na nini hali GDP hoi imekufa, export imekufa, chungu kimekauka,mashetani hawawezi inua uchumi, hadi mnaanzisha kodi za maji ya KISIMA, 25% mifuko ya jamii,kuinganisha mifuko ya jamii lengo kuu ni kuzuia kupunguza speed ya kuwalipa wanachama. Hio miradi haiwezi jilipa hali mzunguko wa hela HakunaNi tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa
hakufurahia mkopo, alifurahia msaada, mkopo walikuja na masharti kibao kikwete almanusura atuingize mkenge ndio huyu jamaa akatokeaJiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.
Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.
Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
Magufuli hajatunga kodi mpya toka aingie ndio kwanza amefyeka makodi ya hovyoUtalipa na nini hali GDP hoi imekufa, export imekufa, chungu kimekauka,mashetani hawawezi inua uchumi, hadi mnaanzisha kodi za maji ya KISIMA, 25% mifuko ya jamii,kuinganisha mifuko ya jamii lengo kuu ni kuzuia kupunguza speed ya kuwalipa wanachama. Hio miradi haiwezi jilipa hali mzunguko wa hela Hakuna
utasubiri sana,haumbuki mtu
Tofautisha mikataba na mikopoAlijisifia kwamba China anatoa msaada bila masharti yoyote. Hebu aweke ile mikataba 16 ya siri aliyoingia JK na wachina tujiridhishe kilichopo na yeye anachotuambia.
kupindi hakuna hzo sgr, kila uwapo mdahalo wa viwanda watu waliropoka, 'ooh viwanda haviendelei kwasabu hakuna miundo, reli zilizopo haziendani na ujenzi wa uchumi wa vuwanda wa kisasa', sasa zinajengwa mumeanza manenoCC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Yetu nayo inakuja, ni kuhusu ile maktaba tuliyofungua juzi pale mlimani.CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Tofautisha mikataba na mikopo
Halafu sio kila kitu cha serikali lazima bavicha muone