Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Nimemsikia mtu mmoja anasema pale Vingunguti kuna wazee wa bakwata wao kazi yao ni kuchinja tu
 
🤣🤣🤣 Anaupiga Mwingi- aende basi Ulaya akatafute soko la Gesi na Korosho kama unafikiria vitu vinaenda kisiasa kama hapa Danganyika😂😂😂. Kwa hiyo Saud wakaitisha Bunge lao kubadilisha Sheria za Meat Export kisa anaupiga Mwingi??
 
Kweli kabisa- Na Kote Duniani Waislam wanasisitizwa kutumia bidhaa zenye hii Halal Logo! Wahindi (Hindus)pia wanayo yenye kuonyesha bidhaa zisizotumia mazao yatokanayo na nyama ya Ngombe. Na sio eti anaupiga Mwingi
Nakukumbusha

1. Samia alikutana na Waziri wa Saudi akawasilisha hili

2. Mwezi machi mwaka huu Samia aliwatuma Mawaziri Mulamula na Waziri wa Mifugo kwenda Saudi kuhadili hili

3. Juzi Samia alipotoka Oman alipitia Saudi akakamilisha hili

Give credit when its due! Samia kafanikisha hili baada ya mkwamo wa Miaka 21
 
Kweli kabisa- Na Kote Duniani Waislam wanasisitizwa kutumia bidhaa zenye hii Halal Logo! Wahindi (Hindus)pia wanayo yenye kuonyesha bidhaa zisizotumia mazao yatokanayo na nyama ya Ngombe. Na sio eti anaupiga Mwingi
Usipo msifia watasema unachuki au unamuonea wivu
 
Nimemsikia mtu mmoja anasema pale Vingunguti kuna wazee wa bakwata wao kazi yao ni kuchinja tu
Na watata hatari! Kwenye hela ya kuchinja. Na Wasipochinja wao hiyo Nyama aitolika na Waislam walio wengi
 
Tulia!

Hayo utayasikia siku si nyingi

Makampuni ya Gesi yanakamilisha taratibu za kimkataba mwezi December mwaka huu na baada ya hapo mikataba mingine inakuja. Nakuhakikishia by 2030 Tanzania tutakuwa mteja mkuu wa Ulaya kwa Gesi

Kuhusu mazao mengine naisi utakuwa umepitwa nenda Mtwara uone export ya korosho inavyofanyika kwenda Vietnam

Kwa ulaya bado Mama yuko kazini, kama kuna soko atalipata tu
 
Usipo msifia watasema unachuki au unamuonea wivu
Hii Laana ya Kila kitu kuingiza Siasa na Kampeni za Kumsifia mtu akubalike na walio wengi , Mungu atuepushe nao sisi Watanzania! Duniani kote maendeleo yanakuja pale tu ubabaishaji wa wanasiasa unapokuwa mbali na sayansi
 
k

Kama kitu kilikwama kwa miaka 21 kikiwashinda marais 3 na yeye amefanikisha kwa mwaka 1 na ushee aliokaa madarakani kwa nini asisifiwe?

Mbona Marekani wanamsifu Abraham Lincoln kwa kuondosha biashara ya utumwa! kwani hakukuwa na sayansi before?
 
Leo kwenye vyombo vya habari PURA wanafikiria kubadilisha vigezo(sheria za uwekezaji wa gesi na mafuta Tanzania) kwa sababu akuna mwekezaji mpya alieomba kuja wekeza miaka zaidi ya 4 mpaka sasa!Korosho ni janga kama lile la ufuta
 
Na last 2 weeks serikali imesaini HGA agreement ya uwekezaji kwenye block 1, 2 na 4 kwenye mradi wa trilion 70 kwa LNG
 
k
Kama kitu kilikwama kwa miaka 21 kikiwashinda marais 3 na yeye amefanikisha kwa mwaka 1 na ushee aliokaa madarakani kwa nini asisifiwe?

Mbona Marekani wanamsifu Abraham Lincoln kwa kuondosha biashara ya utumwa! kwani hakukuwa na sayansi before?
Hili la Nyama alijaanza jana wala juzi yeye akiwa Raisi kumbuka kuna process kwenye maswala yote yanayousu Sayansi(usafi wa Nyama etc na Ishu ya Imani ya Kiislamu HALAL ) haya mambo mawili ata kama angeomba akiwa amepiga magoti Sauds wasingemkubalia-
 
Hata mradi wa Bwawa la Nyerere haukuanza jana wala juzi ila awamu ya tano iliupa kipaumbele na ukaanza

Same to Samia! Amelipa kipaumbele hili jambo kwenye kutimiza ndoto zake za kuifanya Tanzania kuwa na uchumi imara na watanzania kuwa na maisha mazuri na amefanikisha
 
Na last 2 weeks serikali imesaini HGA agreement ya uwekezaji kwenye block 1, 2 na 4 kwenye mradi wa trilion 70 kwa LNG
Haya makampuni yapo Tanzania over 8 yrs back kwenye hiyo ishu ya LNG/LPG projects na sio New deals(ni kiporo kilichokuwepo baada ya yule mwenda zake na Profesa Majalala kuja na Masheria ya ajabu ajabu na kupitishwa na Bunge. 60 yrs sasa Bado chama chako kinafanya Usanii kwenye mambo sensitive ya Maendeleo ya nchi.Kama kila Kitu ni siasa na anaupiga Mwingi aupige mwingi basi kwenye mradi wa Bomba la mafuta toka Uganda to Tanga😁mradi uanze kesho
 
Kila siku nawaambiaga SSH hajawahi fanya ziara za hasara wala hajawahi shindana akashindwa..

Wanaoamini tofauti na mimi tukutane 2025.
 
Je na wewe ni miongoni mwa hao wahuni mnamuendesha?

Kama hapana vilio vingi kwa SSH vya nini? Hao wahuni wanaomuendesha ni kina nani? Wako wangapi? Unaweza tutajua mifano ya wahuni japo wa 3?

Vinginevyo mtaishia kuaibika na kudharaulika kama sio kupuuzwa kila siku.
 
Toka yameingia yalikuwa yanamsubiria nani kuja kusaini hiyo mikataba? SSH au?

Wakati hayo makampuni yapo hapakuwepo na Marais wengine? Kwa nini haikufanyika huko?

Lugha za haters wa SSH kujifariji 😂😂
 
imeruhusu kampuni mbili za kitanzania Za kuingiza nyama nchini mwaoni Za Kikwete na makamba
 
Wewe kahaba kama imekuuma sana kazikwe ukiwa hai pembeni ya kaburi la huyo mwendakuzimu.
 
Safi sana .....

Wakenya walikuwa wanakuja nunua mifugo huku alafu wakipeleka kwao
Wana safirisha bidhaa kama nyama
Nje

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…