Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watenganishe mabehewa tu, atakuweka ispekitor ni kuwapa ulaji tuBaadhii ya abiria wameonekana sio waaminifu
Takukuru imebaini baada ya kuwepo malalamiko ya hujuma kwa treni ya mwendokasi
Akiongea takukuru wamesema kinachofanyjka na wamejiridhisha kwa kukamata baadhi ya abiria
Wanachofanya wanalipa mpaka labda ngorongoro lakinj mtu huyuhuyu anashukia morogoro
Mkurugenzi wa trl anasema kweli jambo lipoo na wamekubaliana kutakuwa na inspectors kwenye treni na baadhi ya vituo
Aiseee hiii bongoooo akishindikan kitu dah
💯 kabisa mkuuWatenganisha mabehewa tu, atakuweka ispekitor ni kuwapa ulaji tu
CCM ndiyo chanzo.TAKUKURU Morogoro wanafanya uchunguzi na kushirikiana na TRC ili kutatua tatizo hili.
Hayo yamesemwa leo na kamanda wa TAKUKURU Morogoro . Amesema;
"Watu wengine ambao siyo waaminifu wamekuwa hawalipi nauli katika trenj ya SGR. Kwa mfano, mtu anakata tiketi ya kushukia Pugu elfu moja lakini anapitiliza mpaka Morogoro.
Chanzo: ITV Habari
My Take;
Chanzo cha yote haya ni nini, umaskini, ujinga, kukosa ustaarabu au ni kula keki ya taifa?